Rais Samia anafanya kazi usiku na mchana mpaka Huruma zinanishika. Tutamkumbuka Sana akimaliza muda wake 2030

Rais Samia anafanya kazi usiku na mchana mpaka Huruma zinanishika. Tutamkumbuka Sana akimaliza muda wake 2030

Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anafanya Kazi usiku na mchana Mpaka Huruma Zinanishika Mimi. Pole sana Mama yetu kwa kazi kubwa uliyobeba mabegani Mwako.
Wewe Mwashambwa hizo kauli zako ukiitwa kujieleza sijui utasema nini. Kazi zake za mchana tunazifahamu. Hizo za usiku wewe umemwona Raisi akizifanya hadi umhurumie? Na kwa nini umhurumie, umesikia akilia na kuomba msaada kwamba analemewa?
 
Kenge kweli, badala ya kumhurumia mamako mzazi huko kijijini kuni kuchwani..ndo maji km 3 ww kutwa kucha na propaganda zako za kumsafisha muuaji.
 
Back
Top Bottom