Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mkuu, matusi sio utamaduni wetu bwana. Tukana moyoni kama huwezi kuacha kabisa.JF waturuhusu kutukana kipindi hiki cha uchaguzi!
Ngoja nivumilie mkuu ila mpaka hiyo octb 29 ipite kuna uwezekano nikaliwa kichwa kwa mara kwanza!Mkuu, matusi sio utamaduni wetu bwana. Tukana moyoni kama huwezi kuacha kabisa.