Monalisa: Natamani kuolewa

Jamani kwani akiolewa mtatumika nyie kah!!mwacheni kwanza sidhani kama alimaanisha anacrave kuolewa!!Afu Mona shukuru Mungu hukujikoboa una mvutooooz!
 
Aaaah!!! Huyo bhana, nimemtaja kwa kuwa ni muathirika wa ndoa, maana shoga ako ana nuksi, maana hajawah kuvaa shera ata kwenye movie

Wema bado mbichi sana. Nuksi anayo zari miaka 39 Una watoto 3 still hajawahi kuonja ndoa
 
Zari anakuuma balaa hhhhhhaaaa
Kwani wema atakomea hiyo miaka au kwa vile miaka yake hua iko pale pale

Masaro yale hata hayaniumi. Kumbeee eeeh kutaja mtaje nyie tu...nyie mnavyomtaja Wema kila Uzi je kumbe na nyie anawauma ehhh? Nimeamua tu tit for tat. Mpaka mumpumzishe Wema ndio ntaacha manake amekuwa wimbo wa celeb hata kwa uzi usiostahili
 
Yani wema akitajwa asipohusika lazima nitaweka mtu wenu mpende msipende. Tit for tat. Uzuri mtu wenu ni full masoo
 
Masaro yale hata hayaniumi. Kumbeee eeeh kutaja mtaje nyie tu...nyie mnavyomtaja Wema kila Uzi je kumbe na nyie anawauma ehhh? Nimeamua tu tit for tat. Mpaka mumpumzishe Wema ndio ntaacha manake amekuwa wimbo wa celeb hata kwa uzi usiostahili

Oooo kumbe hhhhaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…