Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora umwambie wewe ndoa mbili ya kikristo na kiislamu au anataka ya bomani?
Monalisa huyu huyu!
wacha amalizie ya bomani ili afikie mafiga matatu lolest....
Aaaah!!! Huyo bhana, nimemtaja kwa kuwa ni muathirika wa ndoa, maana shoga ako ana nuksi, maana hajawah kuvaa shera ata kwenye movie
Wema bado mbichi sana. Nuksi anayo zari miaka 39 Una watoto 3 still hajawahi kuonja ndoa
Zari anakuuma balaa hhhhhhaaaa
Kwani wema atakomea hiyo miaka au kwa vile miaka yake hua iko pale pale
Zari anakuuma balaa hhhhhhaaaa
Kwani wema atakomea hiyo miaka au kwa vile miaka yake hua iko pale pale
Masaro yale hata hayaniumi. Kumbeee eeeh kutaja mtaje nyie tu...nyie mnavyomtaja Wema kila Uzi je kumbe na nyie anawauma ehhh? Nimeamua tu tit for tat. Mpaka mumpumzishe Wema ndio ntaacha manake amekuwa wimbo wa celeb hata kwa uzi usiostahili
Yani wema akitajwa asipohusika lazima nitaweka mtu wenu mpende msipende. Tit for tat. Uzuri mtu wenu ni full masoo
Oooo kumbe hhhhaaaaaaa
Zari anakuuma balaa hhhhhhaaaa
Kwani wema atakomea hiyo miaka au kwa vile miaka yake hua iko pale pale
Jamani kutamani kuolewa is not a crime oooh!!