Hehehehehe Dina wangeeeeee yule demu wa mwanza ulomuulizia kafia bagamoyo sijui ushapata info? Dina lile jukwaa si la ubuyu shauri yako
Kukimbia ndoa sio suluhisho,inaonyesha mona ndoa haziwezi maana tyson alimkimbia,akaja mpemba naye akamkimbia bora awe single tu maana ndoa haziwezi.
Aje mi nimuoe
Sasa mbona hujaja kutia hata pole kwa wafiwa, tunataka tujue sio kunyamazaa pia taarifa ishasambazwa, ,,,ili maiti ipatikane haraka izikwee,ule sio ubuyu
So hajapatikana? Ilikuwaje?
Amepatikana muda mrefu,,maiti imepelekwa muhimbili
Poleni. Chanzo cha kifo ni nini?
Wema bado mbichi sana. Nuksi anayo zari miaka 39 Una watoto 3 still hajawahi kuonja ndoa
Zari anakuuma balaa hhhhhhaaaa
Kwani wema atakomea hiyo miaka au kwa vile miaka yake hua iko pale pale
Akutane na haja yake mara ngapi, msimtanie mungu aiseeh
Masaro yale hata hayaniumi. Kumbeee eeeh kutaja mtaje nyie tu...nyie mnavyomtaja Wema kila Uzi je kumbe na nyie anawauma ehhh? Nimeamua tu tit for tat. Mpaka mumpumzishe Wema ndio ntaacha manake amekuwa wimbo wa celeb hata kwa uzi usiostahili
Zari ana miaka 34 yupo vile, mcheki mama ubaya sasa ivi, ana miaka sijui 12 sijui 20 ila kashazeeka akifika umri wa zari si atakuwa na ngozi kama mamba na uso kama stafeli, zari ni kisu
Ni zaidi ya 34 Kama yuko saw a why haachi editing ya picha zake?? Uzee umemtembelea ndo maana picha zake full editing. Hata Wema nae akifanya editing mbona anakuwa sawa tu. Kama gundu la ndoa analo zari pamoja na kuzalishwa mitoto 3 bado shela hakulivaa gundu gunduje sasa
Wale hawakuwa wa kwake na ndio maana anaitamani ndoa:confused2: