Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mbali na hilo amesema amewasilisha malalamiko yake ya kuvuliwa uanachama baada ya kupokea barua kutoka Tawi la Mafifi – Iringa Mjini, kitendo alichodai kuwa ni uvunjifu wa Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.