Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
We unaona kuna uchaguzi hapa?si ni Futuhi ya Sa100 na genge lakemumeshindwa kumlinda Lissu asichukuliwe na kufyekwa ndani ndio mutaweza kuzuia uchagzi?
We unaona kuna uchaguzi hapa?si ni Futuhi ya Sa100 na genge lakemumeshindwa kumlinda Lissu asichukuliwe na kufyekwa ndani ndio mutaweza kuzuia uchagzi?
We unaona kuna uchaguzi hapa?si ni Futuhi ya Sa100 na genge lake
Kwetu ccm vipi? Uvumilivu upo?Haahaa vyama vya upinzani, uvumilivu ni zero.Angalau chadema walivumilia kutomtimua mchome
Mbona atakuwa ameruka taratibu za rufani za ndani ya Chama? Suala la uanachama linaanzia ngazi ya tawi/shina rufaa zake huenda Wilaya/Jimbo/Mkoa linapanda hadi kufuatana na katiba ya Chama husika.Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mbali na hilo amesema amewasilisha malalamiko yake ya kuvuliwa uanachama baada ya kupokea barua kutoka Tawi la Mafifi – Iringa Mjini, kitendo alichodai kuwa ni uvunjifu wa Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Una hakika hajaomba Asylum huko aliko? Au uwezo wako wa kufikiri umeishia kuwaza kama mnavyowaza hapa Tanzania? Myopic thinkingHuko aliko atafunguliwa kesi ya defamation na hela zake zote zitakamatwa, na anaweza kuwa civil prisoner
Anachinjwa jinsi alivyolalaUna hakika hajaomba Asylum huko aliko? Au uwezo wako wa kufikiri umeishia kuwaza kama mnavyowaza hapa Tanzania? Myopic thinking
Kinembe sio Jina jemaAnachinjwa jinsi alivyolala