Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
kwa mujibu wa polepole MAGUFULI Aliuwawa na Kundi la WANAMTANDAO LIKIONGOZWA na KIKWETEUtopolo pia nembo yao ni ndala
Pole pole ajiandae, stealth bombers zitamfikiakwa mujibu wa polepole MAGUFULI Aliuwawa na Kundi la WANAMTANDAO LIKIONGOZWA na KIKWETE
Atawekewa sumu kama magufuli alivyowekewa ili afe?Pole pole ajiandae, stealth bombers zitamfikia
Huko aliko atafunguliwa kesi ya defamation na hela zake zote zitakamatwa, na anaweza kuwa civil prisonerAtawekewa sumu kama magufuli alivyowekewa ili afe?
atafute chama kingine silazima ACT ishamkataa
mjinga mmoja wewe umeshindwa kumfungulia defarmation ROSTAM AZIZI aliyepora MGODI na bandari zetu umfungulie polepole? amemdeferm nani, lini na wapi?Huko aliko atafunguliwa kesi ya defamation na hela zake zote zitakamatwa, na anaweza kuwa civil prisoner
Akathibitishe mahakamanimjinga mmoja wewe umeshindwa kumfungulia defarmation ROSTAM AZIZI aliyepora MGODI na bandari zetu umfungulie polepole? amemdeferm nani, lini na wapi?
mtu kusema JAKAYA ndiyo aliyemuua JPM ndiyo afunguliwe kesi?
mtu kusema kuna cable za kuiba matokeo hapo lumumba kosa lake ni nini
kila mkizidiwa mnakimbilia MAHAKAMANI wezi wakubwa
Wameshindwa kumlinda mgombea arudishe fomu INEC ndio watalinda kura hawa?
Pole pole ana hela za wapi mkuu mpaka wafungie account yake..Huko aliko atafunguliwa kesi ya defamation na hela zake zote zitakamatwa, na anaweza kuwa civil prisoner
Enzi ya jiwe aliiba sana, yeye na Angela Kiziga, ila wakadhulumianaPole pole ana hela za wapi mkuu mpaka wafungie account yake..