Monalisa Ndala aishtaki ACT Wazalendo ofisi ya msajili kwa kuvuliwa uanachama

Hawa matapeli yalipokua yanatokea CDM wakasema kua hawako orgarnise sasa kidagaa kimewarudia wao
 
Mbona atakuwa ameruka taratibu za rufani za ndani ya Chama? Suala la uanachama linaanzia ngazi ya tawi/shina rufaa zake huenda Wilaya/Jimbo/Mkoa linapanda hadi kufuatana na katiba ya Chama husika.
 
Mh. Polepole alisema mapema Chama "X" ni project ya ......
 
Huko aliko atafunguliwa kesi ya defamation na hela zake zote zitakamatwa, na anaweza kuwa civil prisoner
Una hakika hajaomba Asylum huko aliko? Au uwezo wako wa kufikiri umeishia kuwaza kama mnavyowaza hapa Tanzania? Myopic thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…