Inawezekana kweli kuna upendeleo lkn ukisoma maneno yake mwenyewe, Ma mkubwa, pure Afrikan, mtu mtu hasa . Amesema " inawezekana mwandishi alithibitisha".
Sasa si kazi yake au msomaji wa gazeti kujua kama ni kweli au uongo,anayehitajika kuthibitisha ni MWANDISHI WA GAZETI sio sisi wasomaji.
Msigwa alinukuuu chanzo.
2. Hoja ya Hamza kuwa na jezi, kuchangia mambo ya ccm hakumfanyi kuwa mwanachama wao.
Mfano watu wengi wanavaa jezi za cdm, vyama vya mpira kama Man U. Liverpool lkn club hizo haziwatambui kama ni wanachama. Uanachama ni kuwa na kadi tena kadi iliyo hai.
Bi mkubwa, dada wa taifa ajue hilo.
Ila ni mbegu kubwa au uongo makamanda?