USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Sasa nikujibu nini wewe ngumbalu nadhani umejijibu kwa post yako ,Soma upya ujiione ulivyo kilazaMwinyi alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Lowasa alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? kahasheki alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? David mathayo alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Hao ni wachache tu katika wengi
USSR