Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Huwa anajifanya mwanaharakati sana huyo dada, ila hata huwa hasomeki anasimamia nini haswaUsilolijua na la kukushangaza zaidi, siku moja utamkuta kajaa tele ndani ya CCM!
Hapo ACT ni kituo tu cha kuelekea huko.
Huyu dada ndo alikuwa anaongelea habari za Martin na Meya mstaafu kuripoti kesi ya Mbowe kutokea mahakamani kwa kuwachomea -In short anaonekana hana political maturity kabisa
duuuh!Sio wote kiongozi...! Wengine vibonge wepesi aisee...!
My God nimekuwa yuda iskarioti , wanawake wanene na mm hatuendani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] USSR mbavu zangu...RUDISHA UPANGA WAKO ALANI...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109][emoji109][emoji736][emoji736]
So fundi wa mabonge Kama swahiba wangu mamdenyiPale VETA Dar zamani kulikuwa na bango kuubwaa lisemalo "Fundi asiye na ujuzi hulaumu vyombo vyake"... Kileza kalufundi utampenda na huo ubonge wake...
Naunga mkono hoja.GERSON MSIGWA AJIUZULU
Ndugu zangu waandishi wa habari, kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito wangu na kufika hapa leo. Nimewaita kwa jambo moja tu ambalo niliona haitakuwa sawasawa likiachwa na kupita hivi hivi...
Ni legacy mojawapo ya mwendazakeJamii yetu imejaa attention seekers wengi
We jamaa kila saa unawaza siasaKwa mara ya kwanza nakupa like
Mwinyi alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Lowasa alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? kahasheki alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? David mathayo alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Hao ni wachache tu katika wengiHuu upuuzi umetoka kwenye chama kinachounda serkali Zanzibar, ni ujinga kufikiri mwajiliwa wa serkali anweza kujiuzuru ,kile cheo sio Cha siasa Kama Cha zito
USSR
Zitto fanya iwezekanavyo umpeleke mahakamani. Huyu jamaa ni jeuri sana.Hoja za kijinga hizi msigwa usiwasikilize hao
Kwani huko atakuwa hayupo serkaliniSielewi kwanini msigwa Hadi leo yupo serikalini
Alipaswa arudi songea akiripoti habari za TBC