Monalisa Ndala: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ajiuzulu mara moja

Mwinyi alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Lowasa alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? kahasheki alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? David mathayo alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Hao ni wachache tu katika wengi
Sasa nikujibu nini wewe ngumbalu nadhani umejijibu kwa post yako ,Soma upya ujiione ulivyo kilaza

USSR
 
Sasa nikujibu nini wewe ngumbalu nadhani umejijibu kwa post yako ,Soma upya ujiione ulivyo kilaza

USSR
Ndio uone sasa serikali yako ilivyoharibu elimu ya tanzania
 
Ishort huyu msigwa ameonyesha ni jinsi gani alivyo mpuuzi aliyepitiliza.
 
Pamoja na hayo lakini haya ni maandishi kutoka kwa zitto kabwe mwenyewe mama yusuf hana uwezo wa kuyaandika haya hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…