Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.

Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.

Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.

Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.

Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.

Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k

Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone. Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?

Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau

Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
 
Ushauri apambane mwanae arudi bongo amtafutie chuo hapa hapa nyumbani ila angalizo ajipange kisawa sawa mwanae akija kusomea hapa tz maana kampaisha mwenyewe kwenye mitandaao ya kijamii Sasa akija chuo cha tz ajiandae mwanae kukengeuka na umarufu aliompatia
 
FORM SIX. Alipata ngapi kwa kila somo? Mf economics A
 
Monalisa hatakiwi kutulalamikia wanzengo maana tumempamba mwanae kwa miaka tele tangu mwanae apate A za kutosha O level mpaka A level na kumsakama paula staki shule ila kajala hakuwahi kutusimangia vyuo vyetu
 
Sometimes kutokuwa na uelewa wazazi kunawaharibia watoto.

Na wazazi wanawake hasa ambao huwa wanaharibu sana watoto hasa wakiwa na vihela.

Single mother wengi wenye hela huwa wana ujinga mwingi sana.

Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.

Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.

Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.

Unamuweka BAF mzumbe ama B com accounts udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchukua after graduation. ( huwa hazimkatai mtu mwenye point 5 ya ECA na kiingereza cha kuombea maji anakijua jua )

Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe kwenye degree ya accounts

Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe .

Wenzake waliopata div 1 za point 5 za eca ambao hawapishani umri na sonia wamesoma vyuo vya bongo tu na wana ajira nzuri. Mfano Irene msengi
 
Attachments

  • Screenshot_20230223-131157_Firefox.jpg
    Screenshot_20230223-131157_Firefox.jpg
    153.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20230223-131232_Firefox.jpg
    Screenshot_20230223-131232_Firefox.jpg
    143.9 KB · Views: 9
Bora angempeleka hata Ghana. Kuna vyuo vizuri tu.

Ghana kote kwa nini. Ceo wa NMB kasoma udsm tu elimu yake ilaa kafika mbali sana sababu alikuwa na akili kama za mtoto wa monalisa

Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.

Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.

Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.

Unamuweka BAF mzumbe ama B com account udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchulua after graduation.

Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe.

Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe tu
 
Halafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
 
Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.

Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.

Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.

Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.

Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.

Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k

Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone. Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?

Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau

Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
Mama slay Queen akili atapata wapi?
 
Back
Top Bottom