Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapigia upatu chuo ulichosoma.Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.
Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.
Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.
Unamuweka BAF mzumbe ama B com account udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchulua after graduation.
Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe.
Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe tu
Unapigia upatu chuo ulichosoma.
Ila mkuu kwenye ishu za accounts uwezo wako pia unamtter sana.
Piga shule pata gpa safi, gonga cpa yako kwa jina la huyo bibie ajira mlangoni kabisa.
Sema huo mstari wako wa mwisho ni tangopori.
Hizo A zake zakukariri itakuwaSometimes kutokuwa na uelewa wazazi kunawaharibia watoto.
Na wazazi wanawake hasa ambao huwa wanaharibu sana watoto hasa wakiwa na vihela.
Single mother wengi wenye hela huwa wana ujinga mwingi sana.
Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.
Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.
Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.
Unamuweka BAF mzumbe ama B com account udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchulua after graduation.
Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe.
Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe tu
Hahah, lugha mwaka mmoja alafu hawafundishi kiingerezaHalafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
Hizo A zake zakukariri itakuwa
Mtu mwenye A isiyo yakukariri lazima azifahamu nchi nzuri zenye vyuo vizuri, mfano nchi ya russia iliyopo eastern europe kwa maswal ya siasa vyuo vyao vipo vizuri
Anaacha kwenda USA, Canada, Scandnavia, UK
KAM college au Kilimanjaro institute of technologyHapa nyumbani atasoma chuo gani sasa
Kwani hata wakisoma kazi zenyewe zipo au ndio mwisho wanauza vitenge na juice ya miwa hko Instagram kama yule mtoto wa gadner alikuwa anaringa ila wahuni wamemuwahi sisi yetu macho tu.
Mi naona andiko limekaa kiwivu wivu,umasikini wa ulaya mashariki ndii uufananishe na wa afrika mashariki kweli??
Kitamsaidia kupata kazi UkraineHalafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
Ngumbaru tumejaa chukiAcha apate adabu , alitaka kumuoutclass , janja janja la mjini Paula , ona sasa litoto lake linazurura vitani na division one yake
Mwambieni aende Mzumbe wakamyooshe maana hata Mwl Nyerere alishawahi sema elimu ipo Mzumbe tuUshauri apambane mwanae arudi bongo amtafutie chuo hapa hapa nyumbani ila angalizo ajipange kisawa sawa mwanae akija kusomea hapa tz maana kampaisha mwenyewe kwenye mitandaao ya kijamii Sasa akija chuo cha tz ajiandae mwanae kukengeuka na umarufu aliompatia
Ana 1 ya point 5!FORM SIX. Alipata ngapi kwa kila somo? Mf economics A