Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #61
Hao wazungu wamekuja huku kwa kuponda kwao hakufai?Wabongo tunaongoza kuwapangia watu maisha wakati yetu yametushinda.
Hakuomba mchanga wa ada, kampeleka kwa pesa yake, na mtoto alifaulu vizuri sasa shida iko wapi. Mbona kuna watu wanakimbia Tanzania wanaenda tafta maisha nchi maskini zaidi ya Tanzania hapa Afrika,
Mbona kuna wazungu uwa wanakuja kusoma hapa tena vyuoni?