cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Si wanasemaga Ulaya n Ulaya tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukraine kuna exposure na connection gani? Hizo nchi za ulaya mashariki zisikieni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wanasemaga Ulaya n Ulaya tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukraine kuna exposure na connection gani? Hizo nchi za ulaya mashariki zisikieni tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa ni kula kuku kwa mrija uwiiiihSisi team paula tunakommenti wapi vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana sisi masikani yetu Dubai tu pa KULA BATA[emoji39][emoji39]
Kila mtu huenda ana ndoto hizo, Ila lugha aliyotumia haikua sawa. Kweli unaamini havijui vyuo vya bongo ikiwa kasoma kindergarten hadi form 6 hapa bongo.Monalisa hajakosea. Inawezekana mtoto alipenda kwenda kusoma nje since akiwa o level na mama akamuahidi akifanya vizuri basi angempeleka. Sasa mtoto kama aliahidiwa hivyo lazma alikua anasoma kutimiza ndoto zake na hakuwaza kabisa kuhusu vyuo vya nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni chizi kweli khaaah. Eti nn?[emoji4][emoji4] Toto liliongea kwa dharau Sana et tz hakuna chuo cha hadhi yangu , mama yake alivyo fala akawa anachekelea na kuwaona wenzake hawajui , Mungu amemuonyesha Dunia ikoje na akifanikiwa akachoropoka mitutu akarud huku udahili mpak mwakani , ma-mae...!! Sura yenyewe ngumu kama tako la mwijaku
Child talk bro atarudi kitaa na atapajua mpaka Njueni InstituteKila mtu huenda ana ndoto hizo, Ila lugha aliyotumia haikua sawa. Kweli unaamini havijui vyuo vya bongo ikiwa kasoma kindergarten hadi form 6 hapa bongo.
Kweli unaamini hakuna chuo Cha hadhi yake bongo?
Mama yake kitendo Cha kumpeleka tu Ukraine kimeonyesha amejikuna ambapo mkono haufiki.
Sio kweli, Ulaya mashariki ni nchi za hovyo sanaSi wanasemaga Ulaya n Ulaya tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli ni utoto ila mama mtu hakupaswa kuunga mkono kauli za mtoto.Child talk bro atarudi kitaa na atapajua mpaka Njueni Institute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa ni kula kuku kwa mrija uwiiiih
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu)Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.
Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.
Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.
Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.
Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.
Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone. Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?
Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau
Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Exposure inatafutwa German, Spain, Norway, Belgium, ulaya magharibi lakini ulaya mashariki huko ukrain afadhali angeenda hata songea st joseph au hata morogoro angerudi anajua hata kupika wali kuliko huko
Duh! Kama ni hivyo alifanya wrong choice.Halafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
Maraisi wote bongo wamesoma hapa, Tena kipindi Cha ndio kulikua na fursa nyingi na rahisi za kusoma njeWatu wasote UDSM , IFM, DIT, SUA , Mzumbe, MUCE , DUCE , RUCU, SAUTI , TEKU, St. JOSEPH, na vyuo vingine bongo leo uhojiwe eti hauvijui hivyo vyuo angejua watu walianza kumchukia pale kujifanya matawi wakati wakawaida tu, ndio maana unaona watu wanamsagia kunguni alidharau taasis za elimu watu walizopitia, mtu alitoka majimaji au tunduru kwenda mwanza SAUTI halafu umsemee chuo chake kwa dharau akipata upenyo anakusagia kunguni tu kama kawaida, maisha ya wasanii wengi Bongo ni maigizo yaani wanaishi kwa shida sana hasa ongeza na nyodo ndio hatuwaelewi kabisa
Ubora wa elimu yetu ilikua zamani na si sasa.Maraisi wote bongo wamesoma hapa, Tena kipindi Cha ndio kulikua na fursa nyingi na rahisi za kusoma nje
Maraisi wote bongo wamesoma hapa, Tena kipindi Cha ndio kulikua na fursa nyingi na rahisi za kusoma nje
Duh kumbe mashariki nuksi kweliMi naona andiko limekaa kiwivu wivu tu,umasikini wa ulaya mashariki ndio uufananishe na wa afrika mashariki kweli??