Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Serikali isitume ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Upande mmoja mtoto alikua sahihi Kama anaweza kusema bongo hakuna vyuo atakua alitazama mfano wa profesa kabudi pengine ,wasomi wanahaja yakujitazama kabla hawajatoa kauli
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mimi mtoto angu ni Bora asome Tanzania kuliko asome ulaya mashariki, Kuna jamaa alisoma Ukraine medicine jamaa alikua mweupe mambo kibao hajuiMtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.
Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.
Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.
Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.
Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.
Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone. Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?
Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau
Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
Umenena vyema anachukua cpa master akienda kuchukulia u.k, marekani, au any other western world anakua full packageHuyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.
Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.
Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.
Unamuweka BAF mzumbe ama B com account udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchulua after graduation.
Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe.
Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe tu
Majority ya waajiriwa wa big four wanatokea udsm au mzumbe minority wanatokea hivyo vyuo vingineUnapigia upatu chuo ulichosoma.
Ila mkuu kwenye ishu za accounts uwezo wako pia unamtter sana.
Piga shule pata gpa safi, gonga cpa yako kwa jina la huyo bibie ajira mlangoni kabisa.
Sema huo mstari wako wa mwisho ni tangopori.
Sio kweli.Majority ya waajiriwa wa big four wanatokea udsm au mzumbe minority wanatokea hivyo vyuo vingine
Hata kama kozi hizo zipo huku ubora wa vyuo vya ulaya huwezi fananisha na vya kwetu. Hata exposure tu huwezi kumfananisha na aliyesoma bongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hata hapa kwetu wanafunzi wa chuo wanawekana kinyumba lol
Mambo ya 1980's hayo, raha sana, tunavaa kungfu shoes na jeans za Zico (nadhani alikuwa footballer)Enzi kijana ananyoa panki na mama zenu wanalaza nywele kwa kigae cha moto, huku wakivaa mikanda ya vipepeo viunoni
Inawezekana kitu kama hichoUpande mmoja mtoto alikua sahihi Kama anaweza kusema bongo hakuna vyuo atakua alitazama mfano wa profesa kabudi pengine ,wasomi wanahaja yakujitazama kabla hawajatoa kauli
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Nakazia [emoji457][emoji375]Huna akili?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Wabongo hawashindwi kuloga nchi vita vitokee.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Kwani hata wakisoma kazi zenyewe zipo au ndio mwisho wanauza vitenge na juice ya miwa hko Instagram kama yule mtoto wa gadner alikuwa anaringa ila wahuni wamemuwahi sisi yetu macho tu.
Na mchango watanchangia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vp chura anayo!
Alafu nyie subirini akirudi bongo mtampokea
Na makamera,atapewa airtime ya kutosha
Subirini mpewe stori za vita
Ova
No 1 knows tommorowAma kweli usimcheke mamba wakati hujavuka mto bado!
Muelewe mtu anayejua lugha isiyo common, Yappi Merkezi walikuja wanahitaji wanaozungumza Kituruki hata kama huna hata certificate yeyote wewe mradi ujue Kituruki. Watu walipata kazi kiulaini bila competition.Halafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
Ni kweli labda kama unataka ligiSio kweli.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hivi kwanini watu hawakioni chuo cha Theofilo Kisanji jamani?