cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.
Kwa hiyo wewe unadhani Shika alikuwa mweupe kabla hajapata shida ya akili?Vyuo vyetu ni bora kuliko hivyo vya huko Ulaya ya Mashariki!! Huna ufahamu wa vyuo vya huko walikosoma wakina SHIKA!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2367]Yeye asome tu, akirudi tutampa elimu ya kuishi mtaani.
Kwa hiyo wewe unadhani Shika alikuwa mweupe kabla hajapata shida ya akili?
Usiwatajage watu waliokuwa na akili kuliko ukoo wenu mzima mkichanganyika na kiazi kama weweWewe ndio unasema hivyo mimi usiniwekee maneno yako mdomoni!
Wabongo hawashindwi kuloga nchi vita vitokee.
Usiwatajage watu waliokuwa na akili kuliko ukoo wenu mzima mkichanganyika na kiazi kama wewe
Exactly [emoji1666]Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.
Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.
Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.
Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.
Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.
Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone. Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?
Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau
Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
Wewe jamaa una ubishi wa vijiweni sana.Hamna aliecomplicate mambo kijana ni vile tu wewe unajumuisha.
Nshasoma na hao watu walofaulu vizuri A level accounts na chuo wakazingua.
Na sijakataa kua hiyo firm inaajiri, sijajua kwanini unanilisha maneno kua nimekataa hilo!!
Kikubwa ni ukubali kua, unaweza kua na uwezo wa kupata marks za juu darasani lakini kazni ukasumbuka. Na hapo ndo msingi wangu mkubwa wala sio hizo A na Gpa kali mkuu, sijui wanielewaaa.
Kuna nyuzi kibao humu wadau wanalalamika hao freshers wakiwa job huwa ni weupe mno licha ya gpa zao kubwakubwa.
Nikujue itanisaidia nn bwegenaz weweUngejua mtu unayemuandikia huo utumbo wako ni wa aina gani nadhani ungeji....nyea!!! Huyu ni mtu wa masafa marefu sana ambayo maishani mwako kuyafikia itakuwa ni ndoto ya alinacha tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania bwana
Kwa kuwa nyie mmesoma bcom mzumbe au Iaa basi kila mtu asome mzumbe
Acha roho mbayaSerikali isitume ndege
Nikujue itanisaidia nn bwegenaz wewe
Leta facts wewe, mkibishiwa mnaita ubishi wa vijiweni namna gani nyie graduates.Wewe jamaa una ubishi wa vijiweni sana.
Wowww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwetu ni songea maeneo ya Msamala, but kwa sasa niko mbali, ila soon ntakua huko.
Mngoni mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwetu ni songea maeneo ya Msamala, but kwa sasa niko mbali, ila soon ntakua huko.
Nimekufwatilia sana toka mwanzo nimegundua bado una utoto, maliza kwanza chuo kisha ukaribie kwenye real life!Mkuu una complicate sana mambo. Nitafutie mtu aliepata div 1 yenye point za juu na A ya accounts A level halafu chuo kwenye kozi ya accounts akamaliza na gpa mbovu. Udbs wapo kibao na mzumbe pia wapo kibao.
Pili je big 4 auditing firm huwa wanaajiri kwa kuwafanyisha kazi kwanza kujua uwezo wao.
Maana kila mwaka wanaajiri fresh from chuo staff wapya bila experience na utaratibu wao unaeleweka.
Uingie kpmg , delloite ama pwc kwa div 2 ama 3 ya o level na A level kwa kusingizia wewe unajua kazi sio mtu wa kukariri darasani ndio maana hujapata div 1. Huo ujanja ujanja wa kupata div 2 na 3 big 4 haziutaki. Zinataka div 1 tupu tena zenye point kali
Faulu kwanza kwa flying colors kazi utafundishwa mradi uwe na div 1 zilizonyooka Za accounts ama science combinations. Na pia chuo upige gpa ya juu. Ujuzi wa kazi haupimwi katika kuajiriwa big 4
Yaani mtu aliepata A za accounts o level na a level useme akifika chuo second year atasahau ya first year.unajua accounts ya A level A ,wanapata wangapi nchi nzima. Na huwezi kupata A ya accounts A level na o level kwa kukariri hata siku moja.