cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Eeeeeh ndyooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeeh ndyooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee
Afadhali hujataja RussiaMtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.
Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.
Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.
Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.
Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.
Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone.
Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?
Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau
Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
Mkuu angetoboa kweli? Maana vyuo vya bongo havina marks za attendence 2/10Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.
Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.
Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.
Unamuweka BAF mzumbe ama B com account udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchulua after graduation.
Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe.
Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe tu
Mkuu angetoboa kweli? Maana vyuo vya bongo havina marks za attendence 2/10
We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.Baba yake yupo wapi amsaidie mwanaye, haya ndio Matatizo ya Fatherlessness, hawa Bongo movie wanajikutaga Fatherhood is toxic until war starts in Ukraine.
Ndio maana nikauliza baba yake yupo wapi, BTW mimi na Bongo celebrities wapi na wapi!We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
Asante kwa taarifa.Baba yake sonia alikua anaitwa Tyson ni mjaluo wa kenya alifariki kwa ajali ya gari sio huyo mganga
Amefariko George TysonBaba yake yupo wapi amsaidie mwanaye, haya ndio Matatizo ya Fatherlessness, hawa Bongo movie wanajikutaga Fatherhood is toxic until war starts in Ukraine.
Ngw'izukulu Jilala amefariki pia alizaa na Nora msanii wa zamani wa bongo movie kaka monalisa alizaa na George Tyson Otieno amefarikiWe nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
Mkataa kwao!Monalisa hatakiwi kutulalamikia wanzengo maana tumempamba mwanae kwa miaka tele tangu mwanae apate A za kutosha O level mpaka A level na kumsakama paula staki shule ila kajala hakuwahi kutusimangia vyuo vyetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba yake sonia alikua anaitwa Tyson ni mjaluo wa kenya alifariki kwa ajali ya gari sio huyo mganga
🤣🤣🤣🤣tunaita kusainiDr Miaka nae kaweka password humo
Ooh. Njaa hizi aisee🤣🤣🤣🤣tunaita kusaini
Kwani huyo monalisa ni nani huko dar?Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.
Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.
Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.
Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.
Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.
Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone.
Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?
Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau
Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
Yaani jamaa anafanya assumption hlf anahitimisha kwa kutumia assumption. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Una uhakika