cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yeaaaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngoni mwenyewe
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaaaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngoni mwenyewe
Kusoma nje ya Tz hata kama bure exposure muhimu .Kama amepata nafasi monalisa goo for it.my dear ukikosa nyamaza tu.Inaonyesha ulivyo mswahili kwani hata angesoma mtwara au Zimbabwe kwani si mtoto wakeMtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.
Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.
Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.
Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.
Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.
Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone.
Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?
Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau
Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
We unayo ya ngp? MfyuuuuuuuKheeeeh kumbe n div 1 ya 5, mbna walikua wanasema div 1 ya 3 woiiiiih, hongera zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna umepovukwa sana, kwan shida nn? Mie nnayo ya 4.We
We unayo ya ngp? Mfyuuuuuuu
Sasa monalisa haelewi hizi mambo yy anajua bongo muvi tuSometimes kutokuwa na uelewa wazazi kunawaharibia watoto.
Na wazazi wanawake hasa ambao huwa wanaharibu sana watoto hasa wakiwa na vihela.
Single mother wengi wenye hela huwa wana ujinga mwingi sana.
Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.
Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.
Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.
Unamuweka BAF mzumbe ama B com accounts udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchukua after graduation. ( huwa hazimkatai mtu mwenye point 5 ya ECA na kiingereza cha kuombea maji anakijua jua )
Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe kwenye degree ya accounts
Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe .
AiseeExposure inatafutwa German, Spain, Norway, Belgium, ulaya magharibi lakini ulaya mashariki huko ukrain afadhali angeenda hata songea st joseph au hata morogoro angerudi anajua hata kupika wali kuliko huko
Aisee😊😊 Toto liliongea kwa dharau Sana et tz hakuna chuo cha hadhi yangu , mama yake alivyo fala akawa anachekelea na kuwaona wenzake hawajui , Mungu amemuonyesha Dunia ikoje na akifanikiwa akachoropoka mitutu akarud huku udahili mpak mwakani , ma-mae...!! Sura yenyewe ngumu kama tako la mwijaku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi naona andiko limekaa kiwivu wivu tu,umasikini wa ulaya mashariki ndio uufananishe na wa afrika mashariki kweli??
Hahahha... umenikumusha mbali sna aisee...ulipotaja Ruhuwiko,.... watu wa songea ni wakarimu sana kule..Yeaaah ni ile iliyoko chandarua, ambapo ilikua stand ya ma bus ambapo imegeuzwa soko la mazao, baada ya stand mpya ya shule ya tanga.
Au wee unasemea ya kule Ruhuwiko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "limbuzi likubwa" "libeberu linanuka kimbala mbala"Hahahha... umenikumusha mbali sna aisee...ulipotaja Ruhuwiko,.... watu wa songea ni wakarimu sana kule..
Wananifurahisha wanavyoongea .. eti "mwanamama", "mwanababa"..
"Gung'ombe gukubwa"... !
Nimekula sana pitiku huko na wale dagaa nyasa
Hahaha... hahaha asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "limbuzi likubwa" "libeberu linanuka kimbala mbala"
Karibu tena Songea. Hahahah.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Eti wewe ni mtoto wa Edward Lowassa?We
We unayo ya ngp? Mfyuuuuuuu
Sio wewe ndio mshamba? We ulisoma wapi Havard au?Kwanza ni washamba utatokaje tanzania eti uende kusoma unkraine uache Minchi kibao ya maana huko ulaya. Ushamba mzigo
Wacha weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna umepovukwa sana, kwan shida nn? Mie nnayo ya 4.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tatizo jf huwa hatujisajili kwa vyeti vyetuSio wewe ndio mshamba? We ulisoma wapi Havard au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha... hahaha asante