Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Kuna siku Monalisa alikupigia simu akasema anapeleka mtoto wake kusoma Ulaya mashariki ili kukuonyesha kuwa anaweza kusomesha mtoto wake Ulaya?
Hauna tofauti na monalisa
 
Watu wasote UDSM , IFM, DIT, SUA , Mzumbe, MUCE , DUCE , RUCU, SAUTI , TEKU, St. JOSEPH, na vyuo vingine bongo leo uhojiwe eti hauvijui hivyo vyuo angejua watu walianza kumchukia pale kujifanya matawi wakati wakawaida tu, ndio maana unaona watu wanamsagia kunguni alidharau taasis za elimu watu walizopitia, mtu alitoka majimaji au tunduru kwenda mwanza SAUTI halafu umsemee chuo chake kwa dharau akipata upenyo anakusagia kunguni tu kama kawaida, maisha ya wasanii wengi Bongo ni maigizo yaani wanaishi kwa shida sana hasa ongeza na nyodo ndio hatuwaelewi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni mtu wa Ruvuma? Maana umetaja San maeneo ya huko.
 
Wanaompangia na kumkandia kupeleka mtoto wake nje ni mafiking.
Sie tumkosoe kwa hoja ya mwanae ya kusema vyuo vyetu ni vya kidwanzi. Japo lina ukweli [emoji51][emoji51][emoji51] ila hakupaswa kuongea vile public yule dogo, na mbaya zaidi mama naye akamtetea mwana. Bora ukasome Ukraine kuliko Bongo (nacheka mwananjilinji anayefananisha elimu ya Ukraine na Tanzania). Elimu yetu ni ya fitna na kukomoana, mabinti wanadhalilishwa na wahadhiri. Bongo vyuo vyetu si rafiki kwa watoto wa kike.
Sahivi hadi wa kiume tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaompangia na kumkandia kupeleka mtoto wake nje ni mafiking.
Sie tumkosoe kwa hoja ya mwanae ya kusema vyuo vyetu ni vya kidwanzi. Japo lina ukweli [emoji51][emoji51][emoji51] ila hakupaswa kuongea vile public yule dogo, na mbaya zaidi mama naye akamtetea mwana. Bora ukasome Ukraine kuliko Bongo (nacheka mwananjilinji anayefananisha elimu ya Ukraine na Tanzania). Elimu yetu ni ya fitna na kukomoana, mabinti wanadhalilishwa na wahadhiri. Bongo vyuo vyetu si rafiki kwa watoto wa kike.
Ukraine chuo chao bora kwa duniani ni cha 1200+ huko, Makerere Cha Uganda ni Cha 900 , UDSM ni cha 1800+
Hadi hapo Kuna picha nadhani utaipata. Angalia gap kwa ya chuo Bora Ukraine na chuo bora uganda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwetu ni songea maeneo ya Msamala, but kwa sasa niko mbali, ila soon ntakua huko.

Songea nilikaa miaka mingi nyuma sana anzia miaka ya super matimila orchestra inaanzishwa baadae kuvuka kwenda msumbiji kupitia Dar pori, tukaja enzi mzee kawawa anahamasisha watu kujenga nyumba bora kuanzia hanga mpaka kitanda huko kupitia kambi za wakimbizi wa msumbiji kuelekea mputa, kuja kula Mbufu na mberere za ziwa nyasa mbambabay huko, enzi mshangano na msamala ni mapori Bombambili ndio kidogo kwa mbali sana, kusafiri Dar unapuyanga hadi makambako kupanda treni
 
Enzi kijana ananyoa panki na mama zenu wanalaza nywele kwa kigae cha moto, huku wakivaa mikanda ya vipepeo viunoni
 
Watu wasote UDSM , IFM, DIT, SUA , Mzumbe, MUCE , DUCE , RUCU, SAUTI , TEKU, St. JOSEPH, na vyuo vingine bongo leo uhojiwe eti hauvijui hivyo vyuo angejua watu walianza kumchukia pale kujifanya matawi wakati wakawaida tu, ndio maana unaona watu wanamsagia kunguni alidharau taasis za elimu watu walizopitia, mtu alitoka majimaji au tunduru kwenda mwanza SAUTI halafu umsemee chuo chake kwa dharau akipata upenyo anakusagia kunguni tu kama kawaida, maisha ya wasanii wengi Bongo ni maigizo yaani wanaishi kwa shida sana hasa ongeza na nyodo ndio hatuwaelewi kabisa
Nikweli vinavyozalisha wanao okotwa majalalani ,jalala unalifahamu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom