Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna UD, IFM na sijui nini.

Naweza kusema ni akili za kitoto hivyo hapaswi kuchukuliwa sana serious, japo kwa mwanafunzi aliyemaliza form 6 kibongobongo huyo ni mtu mzima maana wanakua over 18. Lakini sio issue sana bado hajakua vizuri.

Tatizo lipo kwa mama mzazi ambae ni monalisa, yeye alikuja na kusema haoni kosa na akamtetea. Ni kosa hilo, alipaswa kumsahihisha mtoto kwa Yale aliyozungumza.

Sasa baada ya muda monalisa akarudi tena public akimsindikiza mtoto airport ili aende chuo ulaya, hivyo ametimiza shauku ya mtoto wake. Bila yeye mama kujua kuwa elimu ya Ulaya mashariki haina thamani kivile. Na hata ada yao ni ndogo sana haina tofauti sana na vyuo vya hapa. Hadi hapa alipaswa kuona kitu.

Ulaya mashariki nchi za Ukraine, Bulgaria, Romanja, Czech, Poland, Slovakia, Belarus n.k ni nchi maskini na hata wananchi wa hizo nchi huzamia nao nchi za ulaya magharibi.

Unataka mtoto asome ulaya? Mpeleke nchi za ulaya magharibi Kama UK, Germany, France, Iraland, Norway, Sweden, Belgium, Spain n.k

Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu) ndio maana alifanya yote haya in public ili watu waone. Na bahati mbaya pia aliingia contract kwa kulipa kwa installment via Glo.......e....lin...(wale madalali wa kupeleka watoto vyuo vya India na huko ulaya mashariki) nimeficha Hilo jina la hao watu ili kutoharibu biashara yao. Unaenda kuingia mkopo wa kumsomesha mtoto kwenye nchi za ulaya mashariki ili kuonekana unaweza kumsomesha Ulaya?

Ni mfano wa mzazi mbaya, Sasa unasema watu Wana chuki. Ni Nani aliwaambia muende public kwa mambo yenu binafsi? Ulionyesha kujitutumua sana bila kujua mkija kukwama mnakimbilia kuomba watu wawachangie na kutia huruma. Mnapswa kufahamu internet haisahau

Tusikubali kila ambacho watoto wanataka alafu tunawatimizia huku tukibaki na maumivu makubwa. Mtoto anapaswa kupewa kile ambacho una uwezo nacho tu.
Ogopa Mungu na Teknolojia
 
Exposure inatafutwa German, Spain, Norway, Belgium, ulaya magharibi lakini ulaya mashariki huko ukrain afadhali angeenda hata songea st joseph au hata morogoro angerudi anajua hata kupika wali kuliko huko
nimecheka eti Songea St Joseph, ni pale AJUCO au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaaah
 
Kuna siku Monalisa alikupigia simu akasema anapeleka mtoto wake kusoma Ulaya mashariki ili kukuonyesha kuwa anaweza kusomesha mtoto wake Ulaya?
Weeh Zuchu tuliza Gidi Gidi hiyo kilichoandikwa pia hukielewi?
 
Nimetaja vyuo viwili hapo. Sasa upatu chuo changu kivipi?

Mtu apate A ya accounts necta form 6

Huyo huyo pia apate A ya accounts necta form 4.

Useme hana uwezo kweli wa accounts. Kweli.

Binti alikuwa anaongoza tusiime hadi anapata zawadi zile za darasani na necta o level na a level kapiga div 1 za points za juu tupu

Na je big 4 auditing firm huwa haziajiri kila mwaka staff wapya?

Na je wanaajiri watu kwa vigezo gani ?
Mkuu acha kukariri wewe kua na hizo A za accounts hazimfanyi kua bora kwenye fields za somo husika.
Hizo accounts za darasani tena A level huko unadhani ndizo atazozitumia kwenye ajira??

Labda nlipokuchangany ni hapo niliposema uwezo wako pia unamatter sana. Mi sikumaanisha uwezo wa darasani pekee bali kukitoa cha darasani kukiapply kazini.

Kama umesoma accounts chuo, ni wachache ambao huwa wanavikumbuka vitu vya semister ilopita ilhali accounts since first yr mpaka 3rd yr vitu vinashabihiana, usipoelewa 1st yr bas 2nd yr itakusumbua coz ni mwendelezo.

Sasa unakuta mtu ule muunganiko ye hana, 1st yr ambapo ndo foundation anabolonga, 2nd anakua poa, 3rd anabolonga anapita kwa kubet na msuli pepa tu japo cheti kina A za kuzidi.

Wadau wanasema huko alipoenda hakuna elimu bora, sasa hizo A alizopata hiyo form 6 zimemsaidiaje kupata chuo kizuri?? Kama kakitu kadogo kama hako kashindwa huko ajirani atapambana na mambo mapya ya kuhitaji ufumbuzi kweli?? Hizo ndo A za kukariri si ajabu hata asome huko UD au Mzumbe ajiran akasumbuka tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamtetea shem wako?
😊😊 Toto liliongea kwa dharau Sana et tz hakuna chuo cha hadhi yangu , mama yake alivyo fala akawa anachekelea na kuwaona wenzake hawajui , Mungu amemuonyesha Dunia ikoje na akifanikiwa akachoropoka mitutu akarud huku udahili mpak mwakani , ma-mae...!! Sura yenyewe ngumu kama tako la mwijaku
 
Sisi team paula tunakommenti wapi vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana sisi masikani yetu Dubai tu pa KULA BATA[emoji39][emoji39]
 
Monalisa hajakosea. Inawezekana mtoto alipenda kwenda kusoma nje since akiwa o level na mama akamuahidi akifanya vizuri basi angempeleka. Sasa mtoto kama aliahidiwa hivyo lazma alikua anasoma kutimiza ndoto zake na hakuwaza kabisa kuhusu vyuo vya nchini.
 
Una uhakika
 
Sema mkuu msuli wa chuo tofauti kidogo na advance. Huwezi amini mtu anaweza akatoka na single digit advance halafu chuo akatoka na Ka pass Tu.

Ni ngumu sana mtu aliyesoma ECA na kupata A ya accounts o level na A level. Chuo akapate pass gpa kwenye degree ya Accounting. Labda asome kozi nyingine. Topic za accounts za chuo ni zile zile alizosoma A level
 
Sometimes kutokuwa na uelewa wazazi kunawaharibia watoto.

Na wazazi wanawake hasa ambao huwa wanaharibu sana watoto hasa wakiwa na vihela.

Single mother wengi wenye hela huwa wana ujinga mwingi sana.

Huyo binti kapata div 1 . 5 ya ECA.

Binti kama huyo hutumii nguvu. Maana kila chuo Tanzania anapata admission.

Huna haja ya kupoteza hela za vyuo vya nje wala nini.

Unamuweka BAF mzumbe ama B com accounts udsm. Anamaliza zake na gpa above 4.0 then Big 4 auditing firms zinamchukua after graduation. ( huwa hazimkatai mtu mwenye point 5 ya ECA na kiingereza cha kuombea maji anakijua jua )

Ni ngumu sana mtu aliepata div 1.5 ya ECA kushindwa kufikisha gpa kubwa udsm ama mzumbe.

Na kampuni kubwa za auditing big 4 zinawapenda kweli hao wadada. Maana accounts wanaijua na gpa wanakuwa nazo . So huwa wanawaajiri kila mwaka hasa wa udsm ama mzumbe .
Huu ushauri mlitakiwa mumpe kipindi kile wanatutambia
 
Kwa hiyo course ya Accounting aliyompeleka huyu binti huko angeweza kuipata hapa hapa bongo bila ya huyo mama kuwa na stress za mtoto kuwa mbali na kutojua anaishi vipi!! Hawa watoto wakiwa huko nje unaweza kudhani wanasoma kumbe wamewekwa kinyumba !! Ukweli ndio huo ingawa ngumu kumeza kwa wale wasiokuwa na mazoea ya watoto wakisoma huko nchi za nje.
Mtoto anayejielewa atafuata kilichompeleka.

Hata kama kozi hizo zipo huku ubora wa vyuo vya ulaya huwezi fananisha na vya kwetu. Hata exposure tu huwezi kumfananisha na aliyesoma bongo.

Monalisa alikuwa sahihi na hapaswi kulaumiwa kwani hakuna aliyetarajia hivyo vita.

Tupunguze lawama zisizo na kichwa wala miguu.
 
Mkuu acha kukariri wewe kua na hizo A za accounts hazimfanyi kua bora kwenye fields za somo husika.
Hizo accounts za darasani tena A level huko unadhani ndizo atazozitumia kwenye ajira??

Labda nlipokuchangany ni hapo niliposema uwezo wako pia unamatter sana. Mi sikumaanisha uwezo wa darasani pekee bali kukitoa cha darasani kukiapply kazini.

Kama umesoma accounts chuo, ni wachache ambao huwa wanavikumbuka vitu vya semister ilopita ilhali accounts since first yr mpaka 3rd yr vitu vinashabihiana, usipoelewa 1st yr bas 2nd yr itakusumbua coz ni mwendelezo.

Sasa unakuta mtu ule muunganiko ye hana, 1st yr ambapo ndo foundation anabolonga, 2nd anakua poa, 3rd anabolonga anapita kwa kubet na msuli pepa tu japo cheti kina A za kuzidi.

Wadau wanasema huko alipoenda hakuna elimu bora, sasa hizo A alizopata hiyo form 6 zimemsaidiaje kupata chuo kizuri?? Kama kakitu kadogo kama hako kashindwa huko ajirani atapambana na mambo mapya ya kuhitaji ufumbuzi kweli?? Hizo ndo A za kukariri si ajabu hata asome huko UD au Mzumbe ajiran akasumbuka tu.

Mkuu una complicate sana mambo. Nitafutie mtu aliepata div 1 yenye point za juu na A ya accounts A level halafu chuo kwenye kozi ya accounts akamaliza na gpa mbovu. Udbs wapo kibao na mzumbe pia wapo kibao.

Pili je big 4 auditing firm huwa wanaajiri kwa kuwafanyisha kazi kwanza kujua uwezo wao.

Maana kila mwaka wanaajiri fresh from chuo staff wapya bila experience na utaratibu wao unaeleweka.

Uingie kpmg , delloite ama pwc kwa div 2 ama 3 ya o level na A level kwa kusingizia wewe unajua kazi sio mtu wa kukariri darasani ndio maana hujapata div 1. Huo ujanja ujanja wa kupata div 2 na 3 big 4 haziutaki. Zinataka div 1 tupu tena zenye point kali

Faulu kwanza kwa flying colors kazi utafundishwa mradi uwe na div 1 zilizonyooka Za accounts ama science combinations. Na pia chuo upige gpa ya juu. Ujuzi wa kazi haupimwi katika kuajiriwa big 4

Yaani mtu aliepata A za accounts o level na a level useme akifika chuo second year atasahau ya first year.unajua accounts ya A level A ,wanapata wangapi nchi nzima. Na huwezi kupata A ya accounts A level na o level kwa kukariri hata siku moja.
 
Mkuu una complicate sana mambo. Nitafutie mtu aliepata div 1 yenye point za juu na A ya accounts A level halafu chuo kwenye kozi ya accounts akamaliza na gpa mbovu. Udbs wapo kibao na mzumbe pia wapo kibao.

Pili je big 4 auditing firm huwa wanaajiri kwa kuwafanyisha kazi kwanza kujua uwezo wao.

Maana kila mwaka wanaajiri fresh from chuo staff wapya bila experience na utaratibu wao unaeleweka.

Uingie kpmg , delloite ama pwc kwa div 2 ama 3 ya o level na A level kwa kusingizia wewe unajua kazi sio mtu wa kukariri darasani. Huo ujanja ujanjawa kupata div 2 na 3 big haziutaki. Zinataka div 1 tupu tena zenye point kali

Kaka hawa tayari wana chuki hawatakuelewa!wanaina rahisi hivi vitu tu!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una complicate sana mambo. Nitafutie mtu aliepata div 1 yenye point za juu na A ya accounts A level halafu chuo kwenye kozi ya accounts akamaliza na gpa mbovu. Udbs wapo kibao na mzumbe pia wapo kibao.

Pili je big 4 auditing firm huwa wanaajiri kwa kuwafanyisha kazi kwanza kujua uwezo wao.

Maana kila mwaka wanaajiri fresh from chuo staff wapya bila experience na utaratibu wao unaeleweka.

Uingie kpmg , delloite ama pwc kwa div 2 ama 3 ya o level na A level kwa kusingizia wewe unajua kazi sio mtu wa kukariri darasani. Huo ujanja ujanjawa kupata div 2 na 3 big haziutaki. Zinataka div 1 tupu tena zenye point kali

Faulu kwanza kwa flying colors kazi utafundishwa mradi uwe na div 1 zilizonyooka Za accounts ama science combinations. Na pia chuo upige gpa ya juu. Ujuzi wa kazi haupimwi katika kuajiriwa big 4

Yaani mtu aliepata A za accounts o level na a level useme akifika chuo second year atasahau ya first year.unajua accounts ya A level A ,wanapata wangapi nchi nzima. Na huwezi kupata A ya accounts A level na o level kwa kukariri hata siku moja.
Hamna aliecomplicate mambo kijana ni vile tu wewe unajumuisha.

Nshasoma na hao watu walofaulu vizuri A level accounts na chuo wakazingua.
Na sijakataa kua hiyo firm inaajiri, sijajua kwanini unanilisha maneno kua nimekataa hilo!!

Kikubwa ni ukubali kua, unaweza kua na uwezo wa kupata marks za juu darasani lakini kazni ukasumbuka. Na hapo ndo msingi wangu mkubwa wala sio hizo A na Gpa kali mkuu, sijui wanielewaaa.
Kuna nyuzi kibao humu wadau wanalalamika hao freshers wakiwa job huwa ni weupe mno licha ya gpa zao kubwakubwa.
 
Ooooh hapo sawa, huko nje kafuata exposure na connection. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukraine kuna exposure na connection gani? Hizo nchi za ulaya mashariki zisikieni tu
 
Back
Top Bottom