Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doh ujue Mwezi huu. Umeshaijua bwana [emoji23]Chupa za kijani zipo nyingi sana [emoji23]
Roho ya kitajiri hii [emoji4]Ila kusamehe muhimu.unaangalia mungu kakupa baraka ngapi.then unamove on
AsantePoleee
Hiyo ndo shida. Tunachukulia kama vile ndo maisha yetu halisi. Wakati majina fake na avatar fakeHivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.
Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.
Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
Hahhaha sijaijua jina lake chupa za kijani zipo nyingi kwani na we unafungaDoh ujue Mwezi huu. Umeshaijua bwana [emoji23]
Nikupe mchumba?Hujaona meseji zangu?? Sio poa
Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa [emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.
Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
Poleni mnoooTanesco wamekuja jana wamebadilisha transfoma imelipuka tena eti wamesema wanaweza kuja leo au kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuta hata hapa watu tukatifuana. Ningekua max ningekua katili sana.
kweli kabisa samehe uone baraka za MunguIla kusamehe muhimu.unaangalia mungu kakupa baraka ngapi.then unamove on
Asante sanaPoleni mnooo
Nasindikiza wenzangu tu [emoji23] ile inaanza na HHahhaha sijaijua jina lake chupa za kijani zipo nyingi kwani na we unafunga
Mi sijanuniwa ila nimekula machungu ya kusingiziwa humu. Yani kuna muda najiona kabisa ntaachana na JF. Maisha yangu yana mengi yanategemea watu aisee. Kuharibu kisa kuna watu wasojua kesho yake siko readyHahaha
Nafikiri halijakukuta wewe!! Mtu anakununia with no reason sababu tuu fulani hakupendi!!
Huwa nawadharau tuu napita ka meona kivuli!!
Njoo kule acha ujinga sakayoUsijisahaulishe mkuu
Heeeeeee kumbeee[emoji23]Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona mtu anataka mchumba mwambie anicheki.nimtumie sample achague[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woyooooooooooooo kumbe mwanachama mwenzangu inakuja box zimaNasindikiza wenzangu tu [emoji23] ile inaanza na H