Monday Morning Special!!

Hiyo ndo shida. Tunachukulia kama vile ndo maisha yetu halisi. Wakati majina fake na avatar fake
 
Mwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.

Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha
Nafikiri halijakukuta wewe!! Mtu anakununia with no reason sababu tuu fulani hakupendi!!

Huwa nawadharau tuu napita ka meona kivuli!!
Mi sijanuniwa ila nimekula machungu ya kusingiziwa humu. Yani kuna muda najiona kabisa ntaachana na JF. Maisha yangu yana mengi yanategemea watu aisee. Kuharibu kisa kuna watu wasojua kesho yake siko ready
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…