Monday Morning Special!!

sasa wewe huoni una akili mingi sana? ambao hawako busy na hawana akili ya kujiongeza ndo wako hivyo
ila umetoa somo zuri my dear

Bravoooooo
Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost alifatwa tu akaungwa hakujua linahusu nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaambiwa group la kuelimishana sijui kufanya nn kufika anaambiwa inabidi utume picha tukujue akatuma bwana mtu wa jf hajui kama huyu ni mzigua asije nayo jf kuipost kwenye mapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…