Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakayo mwenyewe ndio huyu anatumia avatar ya rihana mbaya anatisha
Hivi rihanna ana chura eeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakayo mwenyewe ndio huyu anatumia avatar ya rihana mbaya anatisha
HeyEx bae hi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi ninae babu yangu humu jamani. [emoji23][emoji23]
ana samaki [emoji1]Hahaha
Hivi rihanna ana chura eeeh
Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.sasa wewe huoni una akili mingi sana? ambao hawako busy na hawana akili ya kujiongeza ndo wako hivyo
ila umetoa somo zuri my dear
Bravoooooo
Rihana sasa hivi kanenepa nenepa ako na chura kwani dada uko na churaHahaha
Hivi rihanna ana chura eeeh
Waliopo kwenye magroup wana moyo aseeNaanzaje mama kwanza utaanzaje unifate uniambie una group lako uniunge pm yenyewe situmii
HahahaEeeh. Waseme Sakayo mwenyewe hana chura na sura yake kama ya mjomba ake [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost alifatwa tu akaungwa hakujua linahusu niniNaanzaje mama kwanza utaanzaje unifate uniambie una group lako uniunge pm yenyewe situmii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yani kama jana niko zangu Grano naona tu uzi unavyotambaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa Grano? Miss tYani kama jana niko zangu Grano naona tu uzi unavyotambaa.
HahahaSi kwamba na yeye anamjua Sakayo.
Zaidi ya moyo mwisho wake mnakuja kugombana tuWaliopo kwenye magroup wana moyo asee
Hahahayule yule jaman, na hii baridi nakuambia tunagandana kama ruba
teh na sikuoni mitaa yetu ile japo nami nimeadimika kidogo lkn
Sanaaa....mazoea mabaya mnooZaidi ya moyo mwisho wake mnakuja kugombana tu
HahahaNikapige maombi dada kwa ajili ya aliyemteka kaka angu jamani mpaka tigo pesa kateka huyu mtekaji sio mtu mzuri kwa afya yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaambiwa group la kuelimishana sijui kufanya nn kufika anaambiwa inabidi utume picha tukujue akatuma bwana mtu wa jf hajui kama huyu ni mzigua asije nayo jf kuipost kwenye mapicha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost alifatwa tu akaungwa hakujua linahusu nini
Wapambane na khali zao tuuTumejivika miwani za chuki. Hatuwez kuangalia upande mwingine wa kufurahia maisha.
Sanaaa tuzoeane hivi hivi jukwaaniSanaaa....mazoea mabaya mnoo