Kuna watu hiyo Golden Rule hawaijui. Wao wanawaza kukosea wengine tu. Hawawazi siku akitendewa yeye anachomtendea mwingine atafurahia?Mzigua90 hili jukwaa halina tofauti na maisha ya mtaani rafiki. Kuna watu wa hulka zote....wanaojielewa, wahuni, wajuaji wastaarabu, washari..yaani sampuli zote. Umeandika vizuri lakini unaweza ukaogelea matusi vilevile. Lakini umefanya jukumu lako.
Cha msingi ni kuwa makini na kuwa na utu na ubinadamu kwenye kila tulifanyalo, ile sheria naipenda sana, watendee wengine kama ambavyo ungependa wao wakutendee wewe.
Hao wanaochochea trust me wanakuaga hata hawaelewi kinachoendelea. Wabaya ni wale wanaojua kinachoendelea halafu wanatumia wengine waendeleze ugomvi.
Wakiugeuza gaza ntawaachia wajimwage watakavyo. Unadhani hata ntawajibisha mimi. Ntamjibu ninaemjua hao wengine waandike mpaka vidole viote sugu wala sitahangaika nao.Na usipokaa sawa huu uzi unaweza kugeuka kandahari kama sio ukanda wa gaza.
Hao wanaochochea trust me wanakuaga hata hawaelewi kinachoendelea. Wabaya ni wale wanaojua kinachoendelea halafu wanatumia wengine waendeleze ugomvi.
Hii kitu ume copy mahali au umeandika mwenyewe?
Safi. Leo umetoa elimu kubwa nadhani maelfu watanufaika na mchango wako huu.Hahahahaaa. Nimeandika mwenyewe mkuu.
Kuna watu hiyo Golden Rule hawaijui. Wao wanawaza kukosea wengine tu. Hawawazi siku akitendewa yeye anachomtendea mwingine atafurahia?
Na hata kama unafahamu mama angu hata usipotia neno kuna waja watakuhusisha uje tu uandike wakushambulie. Nazidi kujifunza uelewa wa watu humu. Yani niliyokua nayawaza kuhusu watu wa humu kabla sijajoin ni tofauti kabisa. Nilijua wote watu wazima. Kikubwa ni ukiona watu wanagombana usitake side. Waache tu watiane aibu wenyewe. Jitahidi kuwanyamazisha basi.Yaan bora mtu ufahamu kitu na kujiweka kando kuliko kutofahamu ishu nzima na kujiweka mbelembele mwisho wa siku aibu tupu
Ina maana ntakua nimeamka nazo basi. Akili yangu iko active wakati huu wa likizo. Siku zingine nakuaga na stress za wakorea ndo maana siwazi sawa sawa.Umeuliza swali nililotaka kumuuliza, ila nikakumbuka jana alikunywa, itakuwa akili za pombe zimesaidia.
Maana akili zake bila pombe hawezi kuandika uzi mzuri hivi.
Members wanapokuwa ki umri na JF Nayo inakuwa pia look yourself Ten years from now, Ukija kusoma ulichoandika.
Ina maana ntakua nimeamka nazo basi. Akili yangu iko active wakati huu wa likizo. Siku zingine nakuaga na stress za wakorea ndo maana siwazi sawa sawa.
Nakuja tulale apo..alafu nije kukutangaza na hcho kibammia chako[emoji23] [emoji23]Nimelala