Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Mzigua90 hili jukwaa halina tofauti na maisha ya mtaani rafiki. Kuna watu wa hulka zote....wanaojielewa, wahuni, wajuaji wastaarabu, washari..yaani sampuli zote. Umeandika vizuri lakini unaweza ukaogelea matusi vilevile. Lakini umefanya jukumu lako.

Cha msingi ni kuwa makini na kuwa na utu na ubinadamu kwenye kila tulifanyalo, ile sheria naipenda sana, watendee wengine kama ambavyo ungependa wao wakutendee wewe.
Kuna watu hiyo Golden Rule hawaijui. Wao wanawaza kukosea wengine tu. Hawawazi siku akitendewa yeye anachomtendea mwingine atafurahia?
 
Na usipokaa sawa huu uzi unaweza kugeuka kandahari kama sio ukanda wa gaza.
Wakiugeuza gaza ntawaachia wajimwage watakavyo. Unadhani hata ntawajibisha mimi. Ntamjibu ninaemjua hao wengine waandike mpaka vidole viote sugu wala sitahangaika nao.
 
Kuna watu hiyo Golden Rule hawaijui. Wao wanawaza kukosea wengine tu. Hawawazi siku akitendewa yeye anachomtendea mwingine atafurahia?

Mie ukinitukana au kunifanyia chochote humu kiukweli nafurahi tu...ujue kuna vitu vya kuumiza kichwa au kunishtua kuhitaji attention yangu ila sio hizi vumbi ndogo ndogo. Iko hivyo hata kwenye uhalisia, kikubwa ntakachofanya ni kunyamaza na kuendelea na mambo yangu.
 
Yaan bora mtu ufahamu kitu na kujiweka kando kuliko kutofahamu ishu nzima na kujiweka mbelembele mwisho wa siku aibu tupu
Na hata kama unafahamu mama angu hata usipotia neno kuna waja watakuhusisha uje tu uandike wakushambulie. Nazidi kujifunza uelewa wa watu humu. Yani niliyokua nayawaza kuhusu watu wa humu kabla sijajoin ni tofauti kabisa. Nilijua wote watu wazima. Kikubwa ni ukiona watu wanagombana usitake side. Waache tu watiane aibu wenyewe. Jitahidi kuwanyamazisha basi.
 
Umeuliza swali nililotaka kumuuliza, ila nikakumbuka jana alikunywa, itakuwa akili za pombe zimesaidia.

Maana akili zake bila pombe hawezi kuandika uzi mzuri hivi.
Ina maana ntakua nimeamka nazo basi. Akili yangu iko active wakati huu wa likizo. Siku zingine nakuaga na stress za wakorea ndo maana siwazi sawa sawa.
 
Back
Top Bottom