Monday Morning Special!!

Kweli aiseee. Sana sana likinigusa na nakuthamini ntakufuata pembeni nikwambie. Ila zaid ya hapo nakudharau kama takataka gani sijui.
 
Members wanapokuwa ki umri na JF Nayo inakuwa pia look yourself Ten years from now, Ukija kusoma ulichoandika.
Wengi hatutapenda maandishi yetu humu baada ya hiyo miaka kumi
 
muendelezo wa janaaaaa
Kutokea wapi? Mwenza wakiendeleza kwenye uzi wangu watakua wajinga na ntahakikisha wanakula ban. Sitaki kuchafuliwa uzi wangu kabisa
 
Nakuja tulale apo..alafu nije kukutangaza na hcho kibammia chako[emoji23] [emoji23]
Ukimtangaza bwana etu utakosa adabu mwenza. Mbona mi nilivyojua kalala na nanihii humu sikumtangaza nlimchamba tu whatsapp. Tusimchambe bwana etu mwaya maana mwishoni tutaanza kuchambana wenyewe
 
Ukimtangaza bwana etu utakosa adabu mwenza. Mbona mi nilivyojua kalala na nanihii humu sikumtangaza nlimchamba tu whatsapp. Tusimchambe bwana etu mwaya maana mwishoni tutaanza kuchambana wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutaleta uzi wa kuchambana kama ule wa jana na picha zake ntasambaza[emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapemaaa niko apa kupata yanayojiri blue monday

jana si uligoma kuniita maana na ww unahusika[emoji3] [emoji3] (natania)
Muache mchumba angu na yeye kachoka
 
Wengi wasiojielewa ni wadada bifu nyingi ni kugombania wanaume tena anonymous utadhan mitaan wameisha.
 
wanawake wanafiki sana. ndo maana hatuendelei.namshukuru mungu sinaga time ya kumfuatilia mtu yeyote humu.ila shangaa kuna mtu halali anawaza tu jinsi ya kugombana na wewe. namshukuru mungu nilimuachia wenyewe bna hata sijui walimfanya nini maana niliambiwa nitulie na wenye nchi yao
 
Watu wanatafuta sana kujulikana/kuwa maarufu mitandaoni ndo maana wanaweka mambo yao ili waongelewe.

Mtu unayejiheshim na kujua thamani yako huwezi kuweka mambo yako hadharani hasa ukizingatia huwezi kufuta.

Tuwe na kiasi...
 
Umeongea jambo la muhimu sana.
Wenye kuelewa wataelewa [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…