Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
muendelezo wa janaaaaa
Leo umewahi siti kabisa.
Tunaufuta huu uzi fasta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muendelezo wa janaaaaa
Kweli aiseee. Sana sana likinigusa na nakuthamini ntakufuata pembeni nikwambie. Ila zaid ya hapo nakudharau kama takataka gani sijui.Mie ukinitukana au kunifanyia chochote humu kiukweli nafurahi tu...ujue kuna vitu vya kuumiza kichwa au kunishtua kuhitaji attention yangu ila sio hizi vumbi ndogo ndogo. Iko hivyo hata kwenye uhalisia, kikubwa ntakachofanya ni kunyamaza na kuendelea na mambo yangu.
Ha ha ha ha a ha then we should chaange!!Kuna watu siku hizi wanarudi kwenye nyuzi zao wanafuta na kubakisha nukta tu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapemaaa niko apa kupata yanayojiri blue mondayLeo umewahi siti kabisa.
Tunaufuta huu uzi fasta.
Ni kwel kabisa kama tumekubali kuwa GT leo basi mawazo na michango yetu yaje kuwa Miongozo kwa wana JF wa miaka ijayo.Wengi hatutapenda maandishi yetu humu baada ya hiyo miaka kumi
hahaa huyo Roho mtakatifu aliyekushukia leo aendelee kuwapo sikuzoteKutokea wapi? Mwenza wakiendeleza kwenye uzi wangu watakua wajinga na ntahakikisha wanakula ban. Sitaki kuchafuliwa uzi wangu kabisa
Ukimtangaza bwana etu utakosa adabu mwenza. Mbona mi nilivyojua kalala na nanihii humu sikumtangaza nlimchamba tu whatsapp. Tusimchambe bwana etu mwaya maana mwishoni tutaanza kuchambana wenyeweNakuja tulale apo..alafu nije kukutangaza na hcho kibammia chako[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutaleta uzi wa kuchambana kama ule wa jana na picha zake ntasambaza[emoji3] [emoji3]Ukimtangaza bwana etu utakosa adabu mwenza. Mbona mi nilivyojua kalala na nanihii humu sikumtangaza nlimchamba tu whatsapp. Tusimchambe bwana etu mwaya maana mwishoni tutaanza kuchambana wenyewe
Na hata kama unafahamu mama angu hata usipotia neno kuna waja watakuhusisha uje tu uandike wakushambulie. Nazidi kujifunza uelewa wa watu humu. Yani niliyokua nayawaza kuhusu watu wa humu kabla sijajoin ni tofauti kabisa. Nilijua wote watu wazima. Kikubwa ni ukiona watu wanagombana usitake side. Waache tu watiane aibu wenyewe. Jitahidi kuwanyamazisha basi.
Mmh na uyo ni mchumba wako[emoji114]Muache mchumba angu na yeye kachoka
Umeongea jambo la muhimu sana.Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.