Monday Morning Special!!

Wewe niliambiwa mimi unanifuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Natania mwaya. Achana nao. Sema mi nachukia mtu mnafki aisee. Kuwa na tabia zote ila sio unafki. Tusameheane tulipokwazana tuendelee kuenjoy humu.
 
Watu wanatafuta sana kujulikana/kuwa maarufu mitandaoni ndo maana wanaweka mambo yao ili waongelewe.

Mtu unayejiheshim na kujua thamani yako huwezi kuweka mambo yako hadharani hasa ukizingatia huwezi kufuta.

Tuwe na kiasi...
Asante kwa kuongezea hili. Ila ni vizuri uongelewe kwa mazuri sio kwa mabaya.
 
Wewe niliambiwa mimi unanifuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Natania mwaya. Achana nao. Sema mi nachukia mtu mnafki aisee. Kuwa na tabia zote ila sio unafki. Tusameheane tulipokwazana tuendelee kuenjoy humu.
ahaaaa mimi niko loyal sana halafu sio rahisi nigombane na mtu . pia huku jf bna ni sehemu minor sana kwangu nothing serias humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…