Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

wanawake wanafiki sana. ndo maana hatuendelei.namshukuru mungu sinaga time ya kumfuatilia mtu yeyote humu.ila shangaa kuna mtu halali anawaza tu jinsi ya kugombana na wewe. namshukuru mungu nilimuachia wenyewe bna hata sijui walimfanya nini maana niliambiwa nitulie na wenye nchi yao
Wewe niliambiwa mimi unanifuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Natania mwaya. Achana nao. Sema mi nachukia mtu mnafki aisee. Kuwa na tabia zote ila sio unafki. Tusameheane tulipokwazana tuendelee kuenjoy humu.
 
Watu wanatafuta sana kujulikana/kuwa maarufu mitandaoni ndo maana wanaweka mambo yao ili waongelewe.

Mtu unayejiheshim na kujua thamani yako huwezi kuweka mambo yako hadharani hasa ukizingatia huwezi kufuta.

Tuwe na kiasi...
Asante kwa kuongezea hili. Ila ni vizuri uongelewe kwa mazuri sio kwa mabaya.
 
Wewe niliambiwa mimi unanifuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Natania mwaya. Achana nao. Sema mi nachukia mtu mnafki aisee. Kuwa na tabia zote ila sio unafki. Tusameheane tulipokwazana tuendelee kuenjoy humu.
ahaaaa mimi niko loyal sana halafu sio rahisi nigombane na mtu . pia huku jf bna ni sehemu minor sana kwangu nothing serias humu
 
Back
Top Bottom