Monday Morning Special!!

Hiki ni kweli kabisa. Halafu hii tabia ya kushadadia ugomvi wa watu wanaozungumza huko PM si nzuri kwa afya ya akili.
Unajua inakuaje. Wewe si hujui kitu unakua unashadadia tu. Basi muhusika anakufuata pm anakwambia kaseme hiki na kile. Au anakujaza maneno kuhusu mwingine. Sasa kama you are not smart utachukua uliloambiwa na kwenda kuingilia ugomvi. Halafu hao watu wakigombana sijui unapata nini wewe unaewachochea.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutaleta uzi wa kuchambana kama ule wa jana na picha zake ntasambaza[emoji3] [emoji3]
Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta..
nawatania bwana. Nitafurahi mtakuwa mmeniongezea watoto wenye haja na mkuyenge.


Ila mimi ukiona nimempa mdada namba yangu ujue anajitambua.
 
Kumbe ndio zao [emoji23][emoji23][emoji23] wajinga waliopitiliza hao
 
Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta..
nawatania bwana. Nitafurahi mtakuwa mmeniongezea watoto wenye haja na mkuyenge.


Ila mimi ukiona nimempa mdada namba yangu ujue anajitambua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mkuyenge upi huo???
huu apaa nitume nisitume???sema harakaa
 
nwanaume mwenyewe anaegombaniwa wala hajulikani ahaaa jf kuna vituko sana
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanaume gani huyo???? Huyu huyu ndugu yetu anaewagonganisha sana au yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…