sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Hahaaa akili kubwa akitulia lakini [emoji125] [emoji125] [emoji125]Numbi anapenda ubuyu ila ana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa akili kubwa akitulia lakini [emoji125] [emoji125] [emoji125]Numbi anapenda ubuyu ila ana akili
Unajua inakuaje. Wewe si hujui kitu unakua unashadadia tu. Basi muhusika anakufuata pm anakwambia kaseme hiki na kile. Au anakujaza maneno kuhusu mwingine. Sasa kama you are not smart utachukua uliloambiwa na kwenda kuingilia ugomvi. Halafu hao watu wakigombana sijui unapata nini wewe unaewachochea.Hiki ni kweli kabisa. Halafu hii tabia ya kushadadia ugomvi wa watu wanaozungumza huko PM si nzuri kwa afya ya akili.
Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta..[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutaleta uzi wa kuchambana kama ule wa jana na picha zake ntasambaza[emoji3] [emoji3]
nafurah kama ni kwemaKwema mama
Kumbe ndio zao [emoji23][emoji23][emoji23] wajinga waliopitiliza haoUnajua inakuaje. Wewe si hujui kitu unakua unashadadia tu. Basi muhusika anakufuata pm anakwambia kaseme hiki na kile. Au anakujaza maneno kuhusu mwingine. Sasa kama you are not smart utachukua uliloambiwa na kwenda kuingilia ugomvi. Halafu hao watu wakigombana sijui unapata nini wewe unaewachochea.
Unanipikia lini tena nije kwako?ahaaaa mimi niko loyal sana halafu sio rahisi nigombane na mtu . pia huku jf bna ni sehemu minor sana kwangu nothing serias humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mkuyenge upi huo???Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta..
nawatania bwana. Nitafurahi mtakuwa mmeniongezea watoto wenye haja na mkuyenge.
Ila mimi ukiona nimempa mdada namba yangu ujue anajitambua.
Nakuja tulale apo..alafu nije kukutangaza na hcho kibammia chako[emoji23] [emoji23]
Cc mods[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mkuyenge upi huo???
huu apaa nitume nisitume???sema harakaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siaminTicha nakuona!
Halafu nataka unifundishe jinsi ya kufunga PM ticha.
Hayo hako kadada ni kticha kako. Katakuwa kanakufundisha huku kanakutamani.Ticha nakuona!
Halafu nataka unifundishe jinsi ya kufunga PM ticha.
sema haraka picha iko apa karibuCc mods
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanaume gani huyo???? Huyu huyu ndugu yetu anaewagonganisha sana au yupi?nwanaume mwenyewe anaegombaniwa wala hajulikani ahaaa jf kuna vituko sana
Hayo hako kadada ni kticha kako. Katakuwa kanakufundisha huku kanakutamani.
sijawah ona mwnaume mmbeyaaaaaaaaaaaNNN yuko wapi???
Katakubaka wewe si utaonaKana maadili mkuu.