[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kalinilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
hivii kumbe uku kuna mavikundiii?? duuh nko nyuma sanTatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
Vikundi kamwe?? Watu wanayaweza humu jamani. Ni kukosa kazi au ulimbukeni wa mitandao? Kwahiyo niambiwe mkasirikie Sakayo halafu nakukasirikia bila sababu? Akili au matope hayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. JF kuna watu wana akili za kina mama Juma wa Tandale wale wa kukusuta na baikokoTatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Shikamoo Kaka angu huku nipo na goti juu halafu nimekumiss nani kakuteka mpaka jf hauonekani jamaniMembers wanapokuwa ki umri na JF Nayo inakuwa pia look yourself Ten years from now, Ukija kusoma ulichoandika.
Shikamoo Dada anguTatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Mimi kama shunie nimekuelewa mnooo asante sana kwa kutukumbusha ubarikiwe mnooo ndugu yangu nakupendaNilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
Ndio iko hapa na asilimia 8 yaaniSimu imepata chaji eeh.
Pole sana mkuu.kuishi kwingi kuona mengi.Ndio mkuu. Sema mi mtu mzima nikikasirika nawasaidia walionikera wabadilike.
Hivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Mwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.hivii kumbe uku kuna mavikundiii?? duuh nko nyuma san
HahahaVikundi kamwe?? Watu wanayaweza humu jamani. Ni kukosa kazi au ulimbukeni wa mitandao? Kwahiyo niambiwe mkasirikie Sakayo halafu nakukasirikia bila sababu? Akili au matope hayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. JF kuna watu wana akili za kina mama Juma wa Tandale wale wa kukusuta na baikoko
MfyuuuuuShikamoo Dada angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sanaMwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.
Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
EwaaaaaHivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.
Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.
Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
Dada shikamoo niliyokuamkia ni ya heshima nimependa tu ulichoandikaMfyuuuuu
Nimezaa kijiji ama, hebu niache hukoo