Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali
 
Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!

Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!

Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
 
Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!

Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!

hivii kumbe uku kuna mavikundiii?? duuh nko nyuma san
 
Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.

Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.

Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.

Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.

Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.

Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.

Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.

Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.

Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mwenye masikio na akapate kusikia
 
Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!

Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!

Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Vikundi kamwe?? Watu wanayaweza humu jamani. Ni kukosa kazi au ulimbukeni wa mitandao? Kwahiyo niambiwe mkasirikie Sakayo halafu nakukasirikia bila sababu? Akili au matope hayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. JF kuna watu wana akili za kina mama Juma wa Tandale wale wa kukusuta na baikoko
 
Shikamoo Dada angu
 
Mimi kama shunie nimekuelewa mnooo asante sana kwa kutukumbusha ubarikiwe mnooo ndugu yangu nakupenda
 
Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!

Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini uniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!

Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Hivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.

Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.

Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
 
Vikundi kamwe?? Watu wanayaweza humu jamani. Ni kukosa kazi au ulimbukeni wa mitandao? Kwahiyo niambiwe mkasirikie Sakayo halafu nakukasirikia bila sababu? Akili au matope hayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. JF kuna watu wana akili za kina mama Juma wa Tandale wale wa kukusuta na baikoko
Hahaha
Nafikiri halijakukuta wewe!! Mtu anakununia with no reason sababu tuu fulani hakupendi!!

Huwa nawadharau tuu napita ka meona kivuli!!
 
Mwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.

Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
 
Hivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.

Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.

Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
Ewaaaaa
Hapo ndo umeongea ndugu!! Kila mtu angekuwa na akili ka zako tungekuwa mbali sana!!!

Yaani mtu anakuchukia mpaka akiona avatar yako anauguaa!! Kwenye wengi mikwaruzano haikosekani sie binadamu, ukiona mekosa niulize tuu kwa nini hivi lakini?! Kwani shida inakuwa wapi hapo!
 
Back
Top Bottom