sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Mweee kwani jana kulitokea nini [emoji15][emoji15][emoji15]Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]