Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee kwani jana kulitokea nini [emoji15][emoji15][emoji15]
 
nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
Doh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mm
 
Wengine wastaarabu mnooo kama kaka angu Bonny Mungu azidi kumweka tu jamani mstaarabu sana msambaa mwenzangu sana
Ahahaa ila wengine wachonganishi
Wanakuja pm miss huyo mtu picha hii namba yake hii anaishi huku mlipue nikawaambia no mi wala acha afurahi ameshinda.Mimi nitakuja kama yesu miaka mingi sana mbele wala sio jf au mtandaoni.ndo maana nikasamehe kujiepusha na dhambi
 
Back
Top Bottom