Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nilikuwa nawaonaga wanawake wote humu mashosti zangu weee nilikoma ila nilichokifanya mungu anisamehe Ila Nina roho nzuri balaa siwezi mfanyia mtu ubaya maishaMwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.
Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
Nakazia chaliiHivi unaanzaje kugombana na kununiana na mtu ambaye umekutana nae mtandaoni.
Kwanza hujui kama ni mtu kweli au ni robot au zombie. Jinsia humjui maana ID fake nyingi avatar ndio usiseme.
Sometimes tunachukulia maisha ya mtandaoni serious sana kuliko inavyotakiwa. Huku tumekuja kujifunza na kupoteza mawazo tu. Ukiona kizombie au mazombie yanakuchokonoa yaache yatatulia yenyewe.
Ukiingia vitani lazima uwe na silaha ukizidiwa unalipua tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali
Akiona avatar yako anaugua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ujue bado kwetu umeme hamna toka jana nimekuja kucharge simu hukuEwaaaaa
Hapo ndo umeongea ndugu!! Kila mtu angekuwa na akili ka zako tungekuwa mbali sana!!!
Yaani mtu anakuchukia mpaka akiona avatar yako anauguaa!! Kwenye wengi mikwaruzano haikosekani sie binadamu, ukiona mekosa niulize tuu kwa nini hivi lakini?! Kwani shida inakuwa wapi hapo!
Ramadhani hii nimefunga mkuuUnanipikia lini tena nije kwako?
Marahaba Mdogo wangu Mtekaji unamjua muulize vizur kafanya nn mpka nmekimbia huku.Shikamoo Kaka angu huku nipo na goti juu halafu nimekumiss nani kakuteka mpaka jf hauonekani jamani
Mie bado ni shost ako penda usipendee!!Nilikuwa nawaonaga wanawake wote humu mashosti zangu weee nilikoma ila nilichokifanya mungu anisamehe Ila Nina roho nzuri balaa siwezi mfanyia mtu ubaya maisha
WoyoooooooMarahaba Mdogo wangu Mtekaji unamjua muulize vizur kafanya nn mpka nmekimbia huku.
OooohDada shikamoo niliyokuamkia ni ya heshima nimependa tu ulichoandika
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cheko la kikubwaHahaha
Najua cheko lako sio la kitoto!!
Huwezi amini mungu shahidi sijawai kumkosea chochote. Hata ukimuuliza.Mie bado ni shost ako penda usipendee!!
Wewe sijui uliwakosea nini aki,ulikuwa mtu wa mwisho kuamini eti watu wanakuchukia mpaka siku naona sura yako inabembea huku!!
Nilijifunza saaana, nkasema kama miss kafanyiwa hivi vipi mie!! Huwezi amini niliumia mnooo!!!
HahahaAkiona avatar yako anaugua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ujue bado kwetu umeme hamna toka jana nimekuja kucharge simu huku
Nakuombea uendelee kuwa hivi hivi.Amen. Leo nimekaa kiupako zaidi.
Halafu wakatafuta picha mbaya ahahaa wangeniambia tu niwape picha kamiliMie bado ni shost ako penda usipendee!!
Wewe sijui uliwakosea nini aki,ulikuwa mtu wa mwisho kuamini eti watu wanakuchukia mpaka siku naona sura yako inabembea huku!!
Nilijifunza saaana, nkasema kama miss kafanyiwa hivi vipi mie!! Huwezi amini niliumia mnooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji40]Ngoja nimuite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeMarahaba Mdogo wangu Mtekaji unamjua muulize vizur kafanya nn mpka nmekimbia huku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]Woyooooooo
We mtekaji uliyemteka kaka angu ebu mwachie kidogo basi tumuone one jf jamani