Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nilikuwa nawaonaga wanawake wote humu mashosti zangu weee nilikoma ila nilichokifanya mungu anisamehe Ila Nina roho nzuri balaa siwezi mfanyia mtu ubaya maishaMwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.
Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!