Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi alafu.sijawah ona mwnaume mmbeyaaaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siamin
simjui hata yaani huwa nacheka tu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanaume gani huyo???? Huyu huyu ndugu yetu anaewagonganisha sana au yupi?
Katakubaka wewe si utaona
Kumbee wale wengine jee si utakosa mawasiliano nao sasaMzigua sichati naye PM, naenda kwake au yeye anakuja kwangu tukitaka kuongea.
Au tunakutana kwenye vijiwe vya Heineken kama maongezi siyo ya kiutu uzima.
Tukituma na picha yako ya mandingo pm itafurikaa. Maana si unajua tunavyopendaga watu wenye miguu mitatu eeh [emoji23][emoji23][emoji23]Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta..
nawatania bwana. Nitafurahi mtakuwa mmeniongezea watoto wenye haja na mkuyenge.
Ila mimi ukiona nimempa mdada namba yangu ujue anajitambua.
Mrs jr uyooYani umeongea fact wifii kuna watu mkigombana nje ya if analeta kisasi hukuu sijui anazan anapata faida gani?
Mm huwa nasema kamwee sitarudi nyumaaa DEMISS mbele kwa mbele kama Ccm najua lazima utakuja hapa kuqoute na kunitukana utateseka sana.
Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndio zao [emoji23][emoji23][emoji23] wajinga waliopitiliza hao
Kumbee wale wengine jee si utakosa mawasiliano nao sasa
hahahaha sipendi [emoji123] [emoji123]Hayo hako kadada ni kticha kako. Katakuwa kanakufundisha huku kanakutamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katakubaka wewe si utaona
[emoji3] [emoji3] ntakulengaaaKumbee eeh, ngoja nijilengeshe aisee.
[emoji3] [emoji3] ntakulengaaa