Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ujumbe wako ni mtamu sana eti dada.Huyo nae kawa kama kaa siku hizi
Lakini hayo unayoyakemea unaanza kunifanyia why lkn?
Sijaona ukinifuata na kunionya ebo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe wako ni mtamu sana eti dada.Huyo nae kawa kama kaa siku hizi
Basi tu wanajifurahisha na nafsi zaoWakicheka wanapata nini sasa
Eeeh Shunie maana ukinitukana unapata nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakudharauuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje sasa kutoweza mara paaap nakununia kila sehemu mpaka jf ukiniqoute sikujibi yaani kama sikuoni vile
JF kiboko kabisaBasi tu wanajifurahisha na nafsi zao
Salaleeee.Oooh. Ndo hivyo mama. Ndo maana mi naongeaga na wanawake wawili tu pembeni. Na naangalia kipi cha kuongea.
Hivi ngabu yupo wapi.maana kuongea na ngabu ni dhambi humuHii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Uliwahi ungwa [emoji23]Usinikumbushe group za watu wa JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]La 4b [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ujasiri mtu anautoa wapi kuanza kukupangia maisha?!Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina ninachopata my dear zaidi ya kuongezewa madhambi [emoji23]Eeeh Shunie maana ukinitukana unapata nini sasa[emoji23]
kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu.Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!
Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakudharauuu