Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Mi sijanuniwa ila nimekula machungu ya kusingiziwa humu. Yani kuna muda najiona kabisa ntaachana na JF. Maisha yangu yana mengi yanategemea watu aisee. Kuharibu kisa kuna watu wasojua kesho yake siko ready
Uzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!!

Wakununa anune mpaka akufwe kabisaaa, la mno watu sio oxygen ati nitashindwa pumua!!
 
Back
Top Bottom