Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Na hiyo saa 12 naangalia mazingira yapo mazuri kwa kutoka yaan nimepatikana sasa hivi simu mamaHaya mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo saa 12 naangalia mazingira yapo mazuri kwa kutoka yaan nimepatikana sasa hivi simu mamaHaya mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa ulijuta nnHamna habari yoyote.
EwaaaaaKwenye kupiga maombi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NdiwoooMbebez wako yuko hapa
Ahahaa ameenda wapi?Yani Ngabu kama Yuda Eskariot [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yani ni heri utukane kuliko uonekane uko sawa na Ngabu.
Ni nani huyo ebu ninong'oneze dada nimjueNdiwooo
Lol. Wangezipost kutokea wapi? Status au wapi? Maana nlikua sijasave namba ya hata mmoja hata status wasingeziona [emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tumshkuru sana mbebez wangu bila yeye mpaka leo ungekuwepo huko kwenye group na picha zingekuwa zinazidi kupostiwa nakujua ww
Siku umepiga mambo yako unajipostia tu picha uko kwa groupLol. Wangezipost kutokea wapi? Status au wapi? Maana nlikua sijasave namba ya hata mmoja hata status wasingeziona [emoji23][emoji23].
Anapiga no 1 sasa hivi ndio mida mibaya sasa haifai mida hii mpaka saa 11Anapiga number one au number 2? Sema ingenoga saa hizi jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile siku najiuliza picha imefikaje halafu mwenyewe unajifanya haujali kumbe una yako uko umeingizwa kwa group haujataka ushauriPicha langu kuwekwa humu [emoji23]
Dah...Nini hiyo si bure?
Sikujali sana sababu niliituma na aliweka humu aliweka tu bila kujua na yeye anaweka picha ya nani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile siku najiuliza picha imefikaje halafu mwenyewe unajifanya haujali kumbe una yako uko umeingizwa kwa group haujataka ushauri
Ndio mana niko mpole kama sio mmHuyo kuwa tu mpole ndugu yangu. Badamu basichuruzike.
Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.
Mbichwa unapasuka hapa mchumba.Mara ya kwanza kukutana na wewe nilikwambia kama unakumbuka, you stole my time, I had planned to stay for like 20 to 30 minutes.
I ended up staying 3 hours if not 4. Since then, I don't get enough time with you, give me a day, I will ask for a week, a month, a year! Who knows, an eternal will most probably serve the purpose.
You are so brainy mam.
All love.
jana kulikua na nn shemeji