Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.

Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.

Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.

Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.

Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.

Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.

Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.

Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.

Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
Thats true
 
Ni kweli kabisa uongeayo...

Kuna members/watu humu wanajiona wao ndiyo wanakibali cha kukosoa wenzao kwa matusi, kejeli na dharau...

Mara nyingi mimi watu kama hao hata sihangaiki kuwajibu chochote kile... same namwambiaga mahondaw wangu, member akikutukana, kukudharau, kukukejeli mpotezee usihangaike nae...

Kama ulivyosema hatujuani humu, na hata kama tunajuana still so we should respect each other...

Cc: mahondaw
 
Very true.

Its so pathetic kwamba mara zingine unaweza kuona comments zako hazijamfurahisha mtu ama teams sasa badala wajitokeze muwe na debate ama argument ya kujenga wanajitokeza on a totally different thread na kuanza kuthrow shade. 🙄🙄.


How petty and what a waste of time.😛😛😛
 
Sisi binadamu Sisi aise nimesalute [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Ila Thanks God my Smart911 always is telling me... Silence is the best answer mahondaw

Shida ya humu

1. Team
2. Undumilakuwili
3. Unafiki - mtu juzi kakutusi Weeee.. Leo hii ajifanya kukusifia kha!!! Binadamu siyeeeeee!!!!
- mwingine from nowhere tu unashangaa akubwagia mitusi.. Unajiulizaaaaaa


Uzuri watu ukishawajua walaaa hawakupi shida... Ni kuwachora tu
 
On point!

But don’t ‘like’ my comment. Don’t quote me either.

I’m toxic and toxicity is my middle name.

Now lemme go borrow my homeboy’s whip so I can stunt on these hoes teh teh.

I’m out. Deuces.
 
Sasa mbona everyone is playing innocent? Yani katika hizi conversations sikuona hata mmoja aliyekiri kuwa victim...

Wanasema age hii ya 15-45yrs kila mtu anajiona yupo sahihi kwa kila kitu. Wachache wapo tayari kusikiliza na kujifunza, tujaribu kusikiliza zaidi, hakika tutajifunza mengi.
Wote wameonewa nimesoma nikabaki nacheka hiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Very true.

Its so pathetic kwamba mara zingine unaweza kuona comments zako hazijamfurahisha mtu ama teams sasa badala wajitokeze muwe na debate ama argument ya kujenga wanajitokeza on a totally different thread na kuanza kuthrow shade. 🙄🙄.


How petty and what a waste of time.😛😛😛

mwenzetu wewe hautufai darasani kwetu... hiki kimalkia tutakunyan'ganya umotress

Cc Asprin
 
Back
Top Bottom