Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na mahabaaaaaaa!!!ya dhatiiiiiKaniambia katekwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na mahabaaaaaaa!!!ya dhatiiiiiKaniambia katekwa
usinigawe bhana endelea kunishikilia sitakuangusha.Hahaha
We nakugawaaa superstar aki
Ngoja nijitahidi tena kidoogoousinigawe bhana endelea kunishikilia sitakuangusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mahaba ndugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na mahabaaaaaaa!!!ya dhatiiiii
Tutajutaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mahaba ndugu
Thats trueNilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
Wote wameonewa nimesoma nikabaki nacheka hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiSasa mbona everyone is playing innocent? Yani katika hizi conversations sikuona hata mmoja aliyekiri kuwa victim...
Wanasema age hii ya 15-45yrs kila mtu anajiona yupo sahihi kwa kila kitu. Wachache wapo tayari kusikiliza na kujifunza, tujaribu kusikiliza zaidi, hakika tutajifunza mengi.
Very true.
Its so pathetic kwamba mara zingine unaweza kuona comments zako hazijamfurahisha mtu ama teams sasa badala wajitokeze muwe na debate ama argument ya kujenga wanajitokeza on a totally different thread na kuanza kuthrow shade. 🙄🙄.
How petty and what a waste of time.😛😛😛
Huyu nadhani alihudhuria Royal marriage...
she musting be there in kings marriage as representing special member like mps.Huyu nadhani alihudhuria Royal marriage...
hahaaa.Huyu nadhani alihudhuria Royal marriage...