Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

Burnaboy

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
1,070
Reaction score
1,439
Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3):

1. "Ego" - kwa tabia anataka lazima awe mwenye "control" kwa mwenza wake. Uhalisia, Ili kufanikiwa kwenye mahusiano ni lazima mtu uwe tayari kujishusha.

2. Kuchanganya "relationships" na mbio za kufanikiwa haraka kwenye "game" na/au kulinda ambacho tayari ameshapata. Anachukua madem wenye vi- "brand", anatoa "hope" ya kuoa halafu anawatema baada ya kukuza "brand" yake (hao madem nao wanakuwa wamekuza vi - "brand" vyao, ila Mondi - "the egoist" - anaangalia upande wake).

Huwa anapenda kuchukua madem wenye uwezekano wa kukuza "brand" yake ("kiki"). Baadae kunatokea kama migongano ("conflict") kati ya mahusiano na jitihada zake Mondi na huyo mwenza wake kwa kila mmoja kukuza "brand" yake binafsi.

Kwa mwelekeo huu, itakuwa vigumu sana kwa Mondi kupata "mwenza" wa ukweli ("genuine").

3. Kuwahusisha ndugu zake kwenye mambo yake binafsi ya mahusiano: Mahusiano ya Mondi yana athitiwa sana na kuingiliwa na ndugu zake (mama, dada, nk) ambao wanajiona kama wana kauli yenye mamlaka kwenye kila nyanja ya maisha yake. Shida ni kwamba hao nduguze wanamtegemea Mondi kifedha, na uwezekano mkubwa ni kwamba mwisho wa siku, hawataki aoe (ukizingatia kwamba tayari ana watoto)!!!

Kama uongozi wake haujagundua, tofauti na zamani, maisha ya skendo za mademu kwa sasa yana athari mbaya kwenye "brand" ya mondi.

Watu wamechoka. Hii inaunganishwa na lawama zinazozidi kuongezeka kuhusu ngoma zake kujaa matusi.

"Ego" na kiki zinazidi ubinadamu na "way of life" tunayoifahamu wa tz na waafrika, inapokuja suala la kuheshimu dada zetu na maadili kwa ujumla. Vile vile, hii inaleta picha ya Mondi kama mtu flani "fake"!!!

Baada ya Zari na wengine, sitamsamehe Mondi iwapo atamuacha Tanasha. Amini usiamini, East Afrika haitamsamehe (unless Tanasha ka "cheat")!!! Okay, tuseme kamwacha Tanasha then what/where next?

images.jpeg.jpg
 
Its all Done Tanasha kafuta Picha zotye za msela insta ameacha zile ambazo amemshirikisha kwenye wimbo wake wa gere tu!!!

Ujumbe wa Tanasha uliokua unasambaa mitandaoni jana kuhusu Mwanaume bandidu ni Dalili tosha mahusiano yapo ICU.

Mzee wa kuwachapa matukio waondoke wenyewe
 
kuna vitu vinachekesha aya hutomsamehe ama hamtamsamehe what next
Kwangu mimi haya mambo ni social tu, mwisho wa siku kila mtu ana maisha yake. Ila kwake itam cost!!!
Its all Done Tanasha kafuta Picha zotye za msela insta ameacha zile ambazo amemshirikisha kwenye wimbo wake wa gere tu!!!

Ujumbe wa Tanasha uliokua unasambaa mitandaoni jana kuhusu Mwanaume bandidu ni Dalili tosha mahusiano yapo ICU.

Mzee wa kuwachapa matukio waondoke wenyewe
Ndio mbinu anayotumia ana anzisha tukio, anawatema!!!
 
Dogo kamaliza Kenya, Uganda na Tanzania, Kweli Jamaa anazaa kuijaza Dunia sio nyie mnajaza Tanzania tu.

Next Victim nahisi Rwanda sasa
Hahahaaa...au Re Union kwa video vixen yule😅
 
Achana nae ashtuke mapema tu, kesho tutamsoma kama TID mnyama.
 
Back
Top Bottom