Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

[emoji41][emoji41][emoji41]
Pic%20Merger_855.jpeg
 
lawama zote anajua sifa za Mondi kwanini ajibebeshe mimba ngoja aachwe
 
Du...kuna vi povu kiasi.... u fan usiwafanye mazwazwa kama vile hamna akili ya kuelewa zuri na baya. Anyway walionielewa poa na wasionielewa vile vile poa !!!
 
Mkuu kama vp chapa lapa mu unfollow, katika watu wake milioni 20 tunaomfatilia ukimubunfollow tunabaki 19,999,999
 
Msimlaumu daimond walaumuni na hao wanawake wanaojibebesha mimba within a week tayari mimbaa!waambienk waachd tamaa wanaona sifa kuzaa na staa!!MTU km Zari aliacha kukomaa na Ivan kisa kumzalia diamond, Hamisa nae kafichwa kajibebesha mimba huyu Tanasha nae siku 2 mimba!majinga kabisaa haya madada hayajitambui yotee!yapo kimaslahi tu!
Kaka wa watu wala hafaidi ujana wake mwee!!!

Kila demu analenga mimba!mimi ni mwanamke lakini nasema acha waachwe hawajielewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bob Marley alifanya kitu mbaya kwa mkewe lakini leo hii anatukuzwa ulimwengu mzima. Imagine alikuwa analala na mademu wengine wakati mkewe kalala chumba cha pili. Haya mambo na wanamuziki we waachie wenyewe tu
 
Ndio maana amefubaa hana mpya siku hizi. Nilikua shabiki mkubwa wa mondi siku hizi simkubali hata kidogo. Kuanzia nyimbo zake za kijinga mpaka na kiki zake za kipuuzi
 
Ndio maana amefubaa hana mpya siku hizi. Nilikua shabiki mkubwa wa mondi siku hizi simkubali hata kidogo. Kuanzia nyimbo zake za kijinga mpaka na kiki zake za kipuuzi
Hapo kwani Kuna Kiki gani?
 
Msimlaumu daimond walaumuni na hao wanawake wanaojibebesha mimba within a week tayari mimbaa!waambienk waachd tamaa wanaona sifa kuzaa na staa!!MTU km Zari aliacha kukomaa na Ivan kisa kumzalia diamond, Hamisa nae kafichwa kajibebesha mimba huyu Tanasha nae siku 2 mimba!majinga kabisaa haya madada hayajitambui yotee!yapo kimaslahi tu!
Kaka wa watu wala hafaidi ujana wake mwee!!!

Kila demu analenga mimba!mimi ni mwanamke lakini nasema acha waachwe hawajielewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio Diamond, tatizo ni wanawake wenyewe. Uzuri wa diamond huwa hajui ku pretend yani tabia zake ziko wazi kabisaa yani ukiwa nae akishakuchoka cha moto utakiona private na public, na ukishaachwa pia bado utaendelea kusomeshwa namba kwenye public, sasa ambacho huwa nashangaa unakuta mwanamke anayaona yote hayo lakini nayeye anajiweka hapo na mimba juu tena within a week khaaaaa
 
Kuna watu wana vipaji vya ulaghai. Huwez jua mneno anayokua anawaambia na pengine kujifanya amebadilika tabia na kukupa ahadi hewa nyingi
Tatizo sio diamond, tatizo ni wanawake wenyewe. Uzuri wa diamond huwa hajui ku pretend yani tabia zake ziko wazi kabisaa yani ukiwa nae akishakuchoka cha moto utakiona private na public, na ukishaachwa pia bado utaendelea kusomeshwa namba kwenye public, sasa ambacho huwa nashangaa unakuta mwanamke anayaona yote hayo lakini nayeye anajiweka hapo na mimba juu tena within a week khaaaaa
 
Kwan mondi hajulikan kua ndio bingwa wa kiki za kipuuzi puuzi
Nitajie hizo Kiki za kipuuzi tatizo nyinyi mashabiki ndio mnawatengenezea wasanii Kiki alafu mnasema wasanii ndio wanatafuta Kiki wiki iliyopita mlisema diamond karudiana na hamisa wakati diamond mwenyewe ajaongea chochote na Wala hakuna ushahidi wowote ila mmbeya mmoja kachukua simu yake akaandika huo uongo nyinyi mkaanza kuujadili sasa hapo msanii ametafutaje kiki?

Belle 9 alimpost mwanamke yupo pekee akimtakia happy birthday mashabiki wakaanza kusema ni mchumba wakati msanii mwenyewe hajasema chochote unaweza kukuta ni ndugu yake au rafiki yake unajiuliza sasa hapo ametafutaje kiki au nyinyi mashabiki ndo mmetengeneza Kiki msanii.
 
Kuna watu wana vipaji vya ulaghai. Huwez jua mneno anayokua anawaambia na pengine kujifanya amebadilika tabia na kukupa ahadi hewa nyingi
One thing am sure, sizani kama anawambiaga wazae.
 
Back
Top Bottom