Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Wee nitue mbona unatumia 'mlisema'. Mimi na nani na tulisema wapi.
Mbona diamond mwenyewe alishawah kusema kua yeye ni bingwa wa kiki. Au hilo hulijui. Bila vimambo mambo vyake kuviexpose na kufanya watu waone unafikiri ataongelewa nini. Hizo kiki ndio zinazomfanya awepo midomoni. Lasivyo angeshasahaulika midomoni mwa watu.

Nitajie hizo Kiki za kipuuzi tatizo nyinyi mashabiki ndio mnawatengenezea wasanii Kiki alafu mnasema wasanii ndio wanatafuta Kiki wiki iliyopita mlisema diamond karudiana na hamisa wakati diamond mwenyewe ajaongea chochote na Wala hakuna ushahidi wowote ila mmbeya mmoja kachukua simu yake akaandika huo uongo nyinyi mkaanza kuujadili sasa hapo msanii ametafutaje kiki?
Belle 9 alimpost mwanamke yupo pekee akimtakia happy birthday mashabiki wakaanza kusema ni mchumba wakati msanii mwenyewe hajasema chochote unaweza kukuta ni ndugu yake au rafiki yake unajiuliza sasa hapo ametafutaje kiki au nyinyi mashabiki ndo mmetengeneza Kiki msanii.